Alipouawa na polisi Daud Mwangosi, Mbona viongozi wa CHADEMA hawakukamatwa wala kushtakiwa..

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Nakata kuelewa, je mnano tarehe 2 sept 2012 kulitokea tukio baya sana la mwandishi wa habari wa kituo cha Chanel 10 ndugu Daud MWANGOSI kuuawa na mlipuko wa bomu uliotekelezwa na askari polisi. Tukio hili lilitokea wakati huo ikiwa ni jitihada za jeshi la polisi mkoa wa Iringa Kuzuia shughuli za CHADEMA zilizoongozwa na katibu mkuu wa chama wakati huo akiwa Dr Slaa, polisi walizuia shughuli hizo wakidai kua hawakutoa kibali kwa viongozi wa CHADEMA na shughuli hizo zilikua batili kwa Maelezo yao.

Shughuli hizo hazikua tofauti na rapsha zilizotokea miezi mwili iliyopita na kusababisha kifo cha mwanafunzi wa chuo cha NIT Aqwillina Aquilin, najiuliza ni vipi wakati huo kina Dr Slaa hawakukamatwa na polisi na kuswekwa mahabusu kwa kusababisha kifo cha Mwandishi Mwangosi? Ilikuaje ikuaje mpaka leo hatukuona kina Dr Slaa wakiwa mahakamani kujibu tuhuma ikiwa walifanya shughuli baitili kwa mujibu wa jeshi la polisi wakati huo?

Polisi wanamkamata Mh Mbowe na wafuasi wake kwa kosa lipi? Waliandamana wakielekea time ya taifa ya uchaguzi wakiwa na mabango yenye ujumbe gani? hata kama hawakubeba mabango, kwani maandamano kwa tafsiri ya kisheria ya nchi ni kitu gani? Kulikua na haja gani kwa polisi kupiga silaha za moto kutawanya watu wasiokua hata na matawi ya miti mikononi? Kwani form za mawakala zingetolewa kwa wakati hayo yote yangetokea? Mkurugenzi wa Kinondoni angetoa hizo form mapema angepatwa na nini? Tafsi ya neno uasi ni nini?

Kwa hakika, lazima tukubaliane kua tunacheza mchezo ambao unatengenezwa na watu ambao nadhani hawajaifikiria vyema kesho ya vizazi vyao, hakuna uzalendo wowote kwa kuwabambikizia watu kesi zisizowahusu. Tukumbuke kila moja wetu ni kiumbe wa Mungu na anapolia kwa uchungu huku nafsi yake ikisonononeka kwa kuonewa, mtu huyu anaposali na kuomba hakika kuna siku tutashukudia maajabu makubwa sana juu ya mgongo wa ardhi. Uonevu na dhulma hata siku haviwezi kushinda nuru au haki. Tuwadanganye wanyonge kua tunawatetea huku tunawatesa na kuwaonea wachache ambao hawana hatia, ipo siku watatambua dhamira zetu na hakika taifa litazungumza.

Naamini hakuna tena mshikamano ndani ya taifa letu,nuru iliyokuwepo inatokomea kusipojulikana, chuki na hofu vimetanda kila mahali. Huwezi kubeba viongozi wakuu wote wa chama kikuu cha upinzani ambao wana wafuasi zaidi ya million 6, million 2 nchini ya chama tawala halafu unawaweka mahabusu kwa kesi ambayo iko wazi. Tunakolipeleka taifa tutafika huko tunakoelekea.

Tunafikiri tunajenga amani ndani ya taifa ambao lina watu million 50 kwa kuwatia watu hofu badala ya maridhiano na busara kwa kushauriana na kuzungumza juu ya tofauti zetu? Watu million 50 sio na watu million 5 wa taifa la Rwanda, siku wakichukia sijui tutazungumza nini baadae.

Wazee wetu wastaafu wamemaliza muda wao wamekaa kimya hawasemi, kwanini wamekaa kimya? Hivi amgekuwepo Nyerere kwa yanayotokea kwa akili zetu angekubaliana nayo kama mwasisi wa taifa letu?
 
Daah! pole sana mkuu najua unaumia sana na ni vitu ambavyo kiukweli vinatia hudhuni. Acha tujipe moyo kua ni swala la muda tu
 
Mleta maada historia hubadilika usiwe mtumwa wa historia na bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
 
Umekumbusha kitu kibaya sana bora ungekaa kimya..huyu jamaa kwa mapenzi yake kwa chadema aliamua kuchanganya siasa na taaluma..baada ya kufa amesahaulika na chadema wamefunga kurasa..familia yake inatapa tu sasa..kama zile za waliouawa arusha kwenye maandamano ya chadema 2010
 
Kikwete mlimuita dhaifu,mswahili,anacheka cheka,vasco da Gama
Hii laana haitawaacha mpaka muende msoga kwa miguu mkamuombe radhi
Sugu ananyea debe tayari,kinachofuata ni chadema kutafuta watu wa kukaimu tu
 
Umekumbusha kitu kibaya sana bora ungekaa kimya..huyu jamaa kwa mapenzi yake kwa chadema aliamua kuchanganya siasa na taaluma..baada ya kufa amesahaulika na chadema wamefunga kurasa..familia yake inatapa tu sasa..kama zile za waliouawa arusha kwenye maandamano ya chadema 2010
Dr Slaa ndio aliahidi kumsomesha mtoto wa Mwangosi lakini saa hizi anakula kuku Sweden sijui hata kama anakumbuka.
 
Kuna watu wanasapoti mambo bila kujielewa,hatari sana,na hili litakuja kutambuliwa baadae sana, huwezi kusapoti uhuni au dhambi ikaendelea kumea halafu wewe ikaja ikakuacha salama, hata kidogo
 
Nakata kuelewa, je mnano tarehe 2 sept 2012 kulitokea tukio baya sana la mwandishi wa habari wa kituo cha Chanel 10 ndugu Daud MWANGOSI kuuawa na mlipuko wa bomu uliotekelezwa na askari polisi. Tukio hili lilitokea wakati huo ikiwa ni jitihada za jeshi la polisi mkoa wa Iringa Kuzuia shughuli za CHADEMA zilizoongozwa na katibu mkuu wa chama wakati huo akiwa Dr Slaa, polisi walizuia shughuli hizo wakidai kua hawakutoa kibali kwa viongozi wa CHADEMA na shughuli hizo zilikua batili kwa Maelezo yao.

Shughuli hizo hazikua tofauti na rapsha zilizotokea miezi mwili iliyopita na kusababisha kifo cha mwanafunzi wa chuo cha NIT Aqwillina Aquilin, najiuliza ni vipi wakati huo kina Dr Slaa hawakukamatwa na polisi na kuswekwa mahabusu kwa kusababisha kifo cha Mwandishi Mwangosi? Ilikuaje ikuaje mpaka leo hatukuona kina Dr Slaa wakiwa mahakamani kujibu tuhuma ikiwa walifanya shughuli baitili kwa mujibu wa jeshi la polisi wakati huo?

Polisi wanamkamata Mh Mbowe na wafuasi wake kwa kosa lipi? Waliandamana wakielekea time ya taifa ya uchaguzi wakiwa na mabango yenye ujumbe gani? hata kama hawakubeba mabango, kwani maandamano kwa tafsiri ya kisheria ya nchi ni kitu gani? Kulikua na haja gani kwa polisi kupiga silaha za moto kutawanya watu wasiokua hata na matawi ya miti mikononi? Kwani form za mawakala zingetolewa kwa wakati hayo yote yangetokea? Mkurugenzi wa Kinondoni angetoa hizo form mapema angepatwa na nini? Tafsi ya neno uasi ni nini?

Kwa hakika, lazima tukubaliane kua tunacheza mchezo ambao unatengenezwa na watu ambao nadhani hawajaifikiria vyema kesho ya vizazi vyao, hakuna uzalendo wowote kwa kuwabambikizia watu kesi zisizowahusu. Tukumbuke kila moja wetu ni kiumbe wa Mungu na anapolia kwa uchungu huku nafsi yake ikisonononeka kwa kuonewa, mtu huyu anaposali na kuomba hakika kuna siku tutashukudia maajabu makubwa sana juu ya mgongo wa ardhi. Uonevu na dhulma hata siku haviwezi kushinda nuru au haki. Tuwadanganye wanyonge kua tunawatetea huku tunawatesa na kuwaonea wachache ambao hawana hatia, ipo siku watatambua dhamira zetu na hakika taifa litazungumza.

Naamini hakuna tena mshikamano ndani ya taifa letu,nuru iliyokuwepo inatokomea kusipojulikana, chuki na hofu vimetanda kila mahali. Huwezi kubeba viongozi wakuu wote wa chama kikuu cha upinzani ambao wana wafuasi zaidi ya million 6, million 2 nchini ya chama tawala halafu unawaweka mahabusu kwa kesi ambayo iko wazi. Tunakolipeleka taifa tutafika huko tunakoelekea.

Tunafikiri tunajenga amani ndani ya taifa ambao lina watu million 50 kwa kuwatia watu hofu badala ya maridhiano na busara kwa kushauriana na kuzungumza juu ya tofauti zetu? Watu million 50 sio na watu million 5 wa taifa la Rwanda, siku wakichukia sijui tutazungumza nini baadae.

Wazee wetu wastaafu wamemaliza muda wao wamekaa kimya hawasemi, kwanini wamekaa kimya? Hivi amgekuwepo Nyerere kwa yanayotokea kwa akili zetu angekubaliana nayo kama mwasisi wa taifa letu?
Mku haya yote yatapita kama yalivyopita hayo mengine mengi. Mwenyenzi Mungu atawaweka huu juu ya kweli.
Uongo haujawahi kudumu milele ila muda husema wenyewe
 
Dah jamaa povu linatoka haswa, so kwa vile Kipindi kile Dr slaa hakukamatwa na mbowe nae akaona afanye hivyohivyo hatakamatwa??? State commander wakati huo alikuwa kikwete na sasa hivi state commander ni John!! Vitu viwili tofauti. Akili ya kukariri kwamba Fulani ameiba hakukamatwa na Mimi niibe sitakamatwa"
 
Yote hii inatokana na huyo aliyetangaza kuwa atakapoenda mbingini, atamuomba Mungu awe mkuu wa malaika!

Hivi tangu lini umeambiwa kazi za mbinguni unapeleka CV??

Hata hivyo kwa namna CV yake ilivyochafuka, hata hiyo kazi ya ufagizi wa hao malaika hataipata
Wapuuzi wachache Kama wewe mtanyoka tuu mtasema kila aina ya upuuzi
 
Nakata kuelewa, je mnano tarehe 2 sept 2012 kulitokea tukio baya sana la mwandishi wa habari wa kituo cha Chanel 10 ndugu Daud MWANGOSI kuuawa na mlipuko wa bomu uliotekelezwa na askari polisi. Tukio hili lilitokea wakati huo ikiwa ni jitihada za jeshi la polisi mkoa wa Iringa Kuzuia shughuli za CHADEMA zilizoongozwa na katibu mkuu wa chama wakati huo akiwa Dr Slaa, polisi walizuia shughuli hizo wakidai kua hawakutoa kibali kwa viongozi wa CHADEMA na shughuli hizo zilikua batili kwa Maelezo yao.
...
Tunafikiri tunajenga amani ndani ya taifa ambao lina watu million 50 kwa kuwatia watu hofu badala ya maridhiano na busara kwa kushauriana na kuzungumza juu ya tofauti zetu? ...

Hongera kwa kutumbusha matukio ya kisiasa kihistoria. Lakini, ili hoja yako ipate nguvu ya uchambuzi makini, ungerejea pia hotuba za viongozi, wakati ule na juzi, zilizosababisha kufanyika hayo maandamano na matukio ya vifo.

Inasikitisha tunapotetea viongozi wanaohamasisha fitina kati ya mamlaka na wananchi, wakati wao wana heshima na madaraka makubwa nchini. Vijana wa taifa la kesho wanarithishwa nini kama siyo tabia ya uvunjifu wa amani, na mifano imeanza kuonekana.

Wahenga walinena Ukimchekea ngedere utavuna mabua.
 
Mleta maada historia hubadilika usiwe mtumwa wa historia na bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi.
UMEMJIBU KIRAHISI MNO! JIBU NI KUWA YA MWANGOSI NI KESI YA NGEDERE ILIPELEKWA KWA TUMBILI ILA HII YA AKWILINE NI KESI YA KONDOO IPO MIKONONI MWA MBWA MWITU AAMUE
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom