Mtu kurudi kwao si kosa ila kama umemkuta mtu ameshaweka makazi karne na karne ni vyema kutumia busara kuliko nguvu maana utapoteza watu wasio kuwa na hatia
Watanzania sikuzote tunakuwa mabwege na tutaendelea kuwa mabwege sababu kwanza umuelewe alichokiongea uyu mtu alafu ndio utoe comet zako sio unakurupuka unaanza kumkashifu na kumuona mdini alichosema watu watano waliochaguliwa wote wakristo kanakwamba chama akina waislamu ila ajalaumu kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.