Kikwete amuweka kitanzini Kapuya, asema wabakaji wasionewe huruma

zinc

zinc

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2013
Messages
1,225
Likes
383
Points
180
zinc

zinc

JF-Expert Member
Joined May 24, 2013
1,225 383 180
Ndugu wana JF,

RAIS Jakaya Kikwete ameviagiza vyombo vya dola kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote bila kujali cheo, atakayebainika kumbaka au kumuoa mwanafunzi wa shule.
Ametoa kauli hiyo huku aliyekuwa waziri wa wizara tofauti katika awamu mbalimbali za uongozi, Profesa Juma Kapuya, akiandamwa na tuhuma za kumbaka na kutishia kumuua binti, mwanafunzi mwenye umri wa miaka 16.
Ingawa Rais Kikwete hakutaja jina, lakini ni dhahiri kuwa kauli hiyo inamgusa pia Profesa Kapuya, Mbunge wa Urambo Magharibi (CCM).
Akizungumza kwa nyakati tofauti kwenye mikutano ya hadhara kwenye wilaya za Itilima, Meatu na Maswa mkoani Simiyu, Rais Kikwete alisema mtu anayefanya mapenzi na wanafunzi lazima akamatwe, ahojiwe na kufunguliwa mashitaka ya ubakaji na si vinginevyo.
"Kuna watu wanafanya mapenzi hadi na wanafunzi wakati sote tunajua ukimwi upo na hauna dawa na unaua. Kwa hiyo kila mmoja wetu awe makini kujikinga nao na tuepuke kuwaambukiza wengine," alisisitiza Rais Kikwete.
Wakati Rais Kikwete akisisitiza wahalifu wa makosa ya kubaka na kuoa wanafunzi wachukuliwe hatua, polisi jijini Dar es Salaam wamekuwa wakisuasua kumchukulia hatua Profesa Kapuya licha ya binti anayedaiwa kumbaka, kufungua jalada namba OB/RB/21124/13 katika kituo cha Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam, akidai kutishiwa kuuawa na mbunge huyo.
Kauli ya Rais Kikwete imeonyesha dhahiri kukerwa na moja ya ujumbe mfupi wa maneno wa simu ya mkononi kutoka kwenye simu inayodaiwa kumilikiwa na Profesa Kapuya kwenda kwa binti aliyebakwa, ambapo mbunge huyo alijigamba kwamba serikali haiwezi kumfanya chochote.
Ujumbe huo unasomeka hivi: "Mkiuawa itakuwa vizuri…itawapunguzia gharama za kuishi, usitake kugombana na serikali mtoto mdogo kama wewe, sisi ndiyo wenye nchi yetu, mwenye hilo gazeti ni Mbowe, sasa mwambieni nyumba ya kuishi si mmemuingizia hela leo? Mnatumika tu bure watu wanaingiza hela nyingi, ila mmenitibua lazima niwaue, wiki hii haitaisha, nitapiga kambi kote, jana si wamekuficha, tuone utalindwa milele, maana washatengeneza hela, lazima mvae sanda tu, hilo sio ombi ni wajibu wenu, mnajitia na nyie mafia watoto siyo, watoto wetu wanauza unga nani anawakamata? Nani atapingana nasi."
Habari kutoka Ikulu ya Rais Kikwete zinaeleza kuwa kiongozi huyo wa nchi amekerwa na kauli ya mbunge huyo wa Urambo Magharibi kwamba serikali haiwezi kumfanya jambo lolote.
Ni kutokana na kauli hiyo, mtoa taarifa wetu alisema rais aliagiza vyombo vya dola kufuatilia kwa karibu sakata hilo na kuhakikisha sheria inachukua mkondo wake.
Pamoja na msimamo wa Rais Kikwete na binti anayedaiwa kubakwa kuripoti polisi, Profesa Kapuya alifanikiwa kusafiri nje ya nchi huku polisi wakimshuhudia bila kumtia mbaroni.
Akiwa nje ya nchi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura, alikaririwa mara kadhaa akijigamba kuwa polisi inamsaka mbunge huyo na itamtia mbaroni mahala popote alipo.
Hata hivyo, Profesa Kapuya alirejea nchini juzi huku polisi wakimshuhudia bila kuchukua hatua zozote.
Mwanafunzi huyo anadai kubakwa na Profesa Kapuya kwenye moja ya hoteli ya kitalii iliyoko jijini Dar es Salaam mwaka 2011, na kurudia tena kitendo hicho ndani ya ofisi yake katika Jengo la Biashara Complex lililoko Mwananyamala Juni 3, 2012 alipomuita kwenda kuchukua ada.

Source:Tanzania Daima – JK amuweka kitanzini Profesa Kapuya
 
mangikule

mangikule

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Messages
3,326
Likes
1,354
Points
280
mangikule

mangikule

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2012
3,326 1,354 280
Ndugu wana JF,

RAIS Jakaya Kikwete ameviagiza vyombo vya dola kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote bila kujali cheo, atakayebainika kumbaka au kumuoa mwanafunzi wa shule.
Ametoa kauli hiyo huku aliyekuwa waziri wa wizara tofauti katika awamu mbalimbali za uongozi, Profesa Juma Kapuya, akiandamwa na tuhuma za kumbaka na kutishia kumuua binti, mwanafunzi mwenye umri wa miaka 16.
Ingawa Rais Kikwete hakutaja jina, lakini ni dhahiri kuwa kauli hiyo inamgusa pia Profesa Kapuya, Mbunge wa Urambo Magharibi (CCM).
Akizungumza kwa nyakati tofauti kwenye mikutano ya hadhara kwenye wilaya za Itilima, Meatu na Maswa mkoani Simiyu, Rais Kikwete alisema mtu anayefanya mapenzi na wanafunzi lazima akamatwe, ahojiwe na kufunguliwa mashitaka ya ubakaji na si vinginevyo.
“Kuna watu wanafanya mapenzi hadi na wanafunzi wakati sote tunajua ukimwi upo na hauna dawa na unaua. Kwa hiyo kila mmoja wetu awe makini kujikinga nao na tuepuke kuwaambukiza wengine,” alisisitiza Rais Kikwete.
Wakati Rais Kikwete akisisitiza wahalifu wa makosa ya kubaka na kuoa wanafunzi wachukuliwe hatua, polisi jijini Dar es Salaam wamekuwa wakisuasua kumchukulia hatua Profesa Kapuya licha ya binti anayedaiwa kumbaka, kufungua jalada namba OB/RB/21124/13 katika kituo cha Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam, akidai kutishiwa kuuawa na mbunge huyo.
Kauli ya Rais Kikwete imeonyesha dhahiri kukerwa na moja ya ujumbe mfupi wa maneno wa simu ya mkononi kutoka kwenye simu inayodaiwa kumilikiwa na Profesa Kapuya kwenda kwa binti aliyebakwa, ambapo mbunge huyo alijigamba kwamba serikali haiwezi kumfanya chochote.
Ujumbe huo unasomeka hivi: “Mkiuawa itakuwa vizuri…itawapunguzia gharama za kuishi, usitake kugombana na serikali mtoto mdogo kama wewe, sisi ndiyo wenye nchi yetu, mwenye hilo gazeti ni Mbowe, sasa mwambieni nyumba ya kuishi si mmemuingizia hela leo? Mnatumika tu bure watu wanaingiza hela nyingi, ila mmenitibua lazima niwaue, wiki hii haitaisha, nitapiga kambi kote, jana si wamekuficha, tuone utalindwa milele, maana washatengeneza hela, lazima mvae sanda tu, hilo sio ombi ni wajibu wenu, mnajitia na nyie mafia watoto siyo, watoto wetu wanauza unga nani anawakamata? Nani atapingana nasi.”
Habari kutoka Ikulu ya Rais Kikwete zinaeleza kuwa kiongozi huyo wa nchi amekerwa na kauli ya mbunge huyo wa Urambo Magharibi kwamba serikali haiwezi kumfanya jambo lolote.
Ni kutokana na kauli hiyo, mtoa taarifa wetu alisema rais aliagiza vyombo vya dola kufuatilia kwa karibu sakata hilo na kuhakikisha sheria inachukua mkondo wake.
Pamoja na msimamo wa Rais Kikwete na binti anayedaiwa kubakwa kuripoti polisi, Profesa Kapuya alifanikiwa kusafiri nje ya nchi huku polisi wakimshuhudia bila kumtia mbaroni.
Akiwa nje ya nchi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura, alikaririwa mara kadhaa akijigamba kuwa polisi inamsaka mbunge huyo na itamtia mbaroni mahala popote alipo.
Hata hivyo, Profesa Kapuya alirejea nchini juzi huku polisi wakimshuhudia bila kuchukua hatua zozote.
Mwanafunzi huyo anadai kubakwa na Profesa Kapuya kwenye moja ya hoteli ya kitalii iliyoko jijini Dar es Salaam mwaka 2011, na kurudia tena kitendo hicho ndani ya ofisi yake katika Jengo la Biashara Complex lililoko Mwananyamala Juni 3, 2012 alipomuita kwenda kuchukua ada.

Source:Tanzania Daima – JK amuweka kitanzini Profesa Kapuya
Usanii usanii usanii usanii!! JK msanii asiyetaka kuchukua jukumu/maamuzi!! Ilikuwa shida sana kuagiza vyombo moja kwa moja kumshughulikia KAPUYA!!? Kweli Rahisi tunaye!!Huyo mbakaji atakapomuua huyo mtoto yatakuwa shwari!! Niambieni Ditopile Mzuzuri alikaa lupango siku ngapi?? I hate skimmers!!
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
32,004
Likes
13,648
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
32,004 13,648 280
Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha Ha imekula kwa Kapuya kapuya!
 
P

politiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Messages
2,373
Likes
190
Points
160
P

politiki

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2010
2,373 190 160
hapo ndipo utajua umuhimu wa kutenganisha vyombo vya usalama na wanasiasa. mzizi hapa ni katiba kwani vyombo hivi leo hii vinaongozwa na wanasiasa wakina nchimbi. katiba inabidi iitenganishe mbali taasisi hii na wanasiasa ili iweze kujiendesha kitaalamu zaidi badala ya mwanasiasa kama nchimbi huku akivuta kamba kwa mbali. lakini still jeshi la polisi inabidi walaumiwe kwa kushindwa kufanya kazi yao kwani mtuhumiwa wa kubaka aojiwi na anasafiri nje na ndani ya nchi bila wasiwasi wowote kwani ingekuwa mtu yeyote yule asingetendewa hivi
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,579
Likes
39,004
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,579 39,004 280
Nasikia puyanga kenda jificha Marekani
 
P

politiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2010
Messages
2,373
Likes
190
Points
160
P

politiki

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2010
2,373 190 160
kwa kauli hii ya jk kama kweli basi polisi itamfuata na kumuoji kwa dakika mbili na kumuachia

halafu wataanza uchunguzi wao wa miaka 20 wakati message za kutishia kuua zenyewe tu ambazo mwenye amekiri kuwa za simu yake zinapaswa kuwa kigezo tosha cha kufungua kesi na kumsweka ndani kwa ajili ya usalama wa muhusika.

Ile taasisi yetu ya kushugulikia maadili kwy mitandao ya TCRA vipi mbona iko kimya hata katamko kadogo kakuzugia hakuna jamani!!!
 
Delly Mandah

Delly Mandah

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Messages
272
Likes
45
Points
45
Age
39
Delly Mandah

Delly Mandah

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2011
272 45 45
danganya toto jinga nikupe senti tano kanunue pipi na soda
 
Valentina

Valentina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2013
Messages
20,739
Likes
16,497
Points
280
Valentina

Valentina

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2013
20,739 16,497 280
Hawana lolote hao,usanii tu umewakalia...
 
respect wa boda

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
4,465
Likes
1,306
Points
280
respect wa boda

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2013
4,465 1,306 280
Lakini hapa mi ndo nashindwa kuelewa hivi hawa maccm mbona hayaonekani kwenye nyuzi zinazohusu kashfa za ccm,nadhani kuna kitu cha kujifunza hapa pro cdm wake up
 
MESTOD

MESTOD

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
4,771
Likes
331
Points
180
MESTOD

MESTOD

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
4,771 331 180
Kwa hiyo Mh Rais amejua kuwa siyo viherehere vyao tena?
 
Valentina

Valentina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2013
Messages
20,739
Likes
16,497
Points
280
Valentina

Valentina

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2013
20,739 16,497 280
Last edited by a moderator:
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2010
Messages
6,741
Likes
3,346
Points
280
124 Ali

124 Ali

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2010
6,741 3,346 280
Kapuya na katoto?katoto kepi?kapuya alikuwa na changidoa wake mzoefu tu,hakuna katoto wala mwanafunzi pale tuondoleeni hizi drama huyo kapuya awajibishwe kwa kujivunjia heshima na kukosa adabu za mtu mwenye dhamana za uongozi na kama mtu mzima kwenye jamii!
 
NullPointer

NullPointer

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2011
Messages
3,480
Likes
722
Points
280
NullPointer

NullPointer

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2011
3,480 722 280
Hiyo kesi haitoenda popote, binti mwenyewe kwenye video alikua anajishuashua, yeye kama alipokea hela kutoka kwa msela basi hata haki alikua hataki, yeye wamezinguana wanaleta mambo yao kupata attention, angekataa hela toka mwanzo, wote wakuda tu.. Mzee mkuda na binti gold digger tu,
 
Forum statistics

Threads 1,252,299
Members 482,076
Posts 29,803,122