Recent content by SMU

  1. SMU

    Makamu wa Rais anaeweza kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja kwa shughuli maalamu?

    "nature abhors a vacuum" credits: Aristotle
  2. SMU

    Wazazi wangu wananipenda kuliko Watoto wengine

    Usijipe kazi ya kuwachagulia watu wengine (hata wazazi wako) watu wa kuwapenda au kuwachukia. Ni kazi ngumu na hutoiweza! Wewe tenda yaliyo mema na timiza wajibu wako kwa kila mtu (wazazi wako na ndugu zako) na hilo la kukupenda ama kukuchukia waachie wenyewe. Jiulize hata wewe mwenyewe, kuna...
  3. SMU

    Mapenzi na Siri zake za ovyo

    Hiyo statistic ya mwenza alilala na wanaume wangapi sio rahisi kuipata kwa uhakika na kwa kweli haisaidii sana katika mahusiano, sana itakupa stress isiyo ya lazima. Kila uhusiano ni unique na kama mmeridhiana kukaa pamoja endeleeni tu na muwache "pasts" zenu huko huko.
  4. SMU

    Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

    Good timing! Wachaneni na bandari, jadilini Makonda.
  5. SMU

    Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

    Duh....sawa "Panzi Mbishi", umeeleweka. Walete DPW wapige kazi tu!
  6. SMU

    Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

    Kwani nani kumuua nani? Au ni nini kumemuua nani?😎😎
  7. SMU

    Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

    Kama "bwana yule" alivyoonesha dharau kubwa sana kwa Kanisa na viongozi wake katika mapambano dhidi ya Covid19......tena akiwa kanisani! Sote tunajua alipo kwa sasa!
  8. SMU

    Wajua japo Rais ni sehemu ya Bunge, bado hana mamlaka ya kuliingilia Bunge? Ili kufuta IGA ya DPW, Rais anapaswa kulivunja Bunge?

    Hivi tulipigania/tulidai uhuru wa kazi gani kama hatuwezi kusimamia mambo yetu wenyewe? na serikali inakiri hivyo kuwa TPA nimeshindwa na dawa ni kuleta waarabu. Hivi watanzania tunafifikri vizuri kweli? Hatujifunzi tu makosa tuliyofanya huko nyuma(madini, tanesco, dawasco, railways nk)...
  9. SMU

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Kwa ubovu wa huu mkataba wa bandari, kama gharama ya kuachana na hilo dude (DPW) ni kufuta MoU kati ya serikali na makanisa, na wafute tu! Serikali ijitafute yenyewe kujenga hospitali zake.
  10. SMU

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Kwa hivyo TEC wangeunga mkono mkataba wa bandari, MoU katika ya serikali na madhebu ya kikristo katika kutoa huduma za afya kwa watanzania ingekuwa ni "halali"? Nafikiri badala ya kushambulia watoa hoja (TEC), tutizame hoja zao na kuzipinga kwa hoja. Tukishambulia MoU tu, haijibu chochote...
  11. SMU

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    Bila shaka katika walioshiriki kwenye huu mkataba, kuna ambao wameshaenda "kuungama"! Wacha tuone atakapingana na "sauti ya Mungu" (Vox Populi, Vox Dei)🤔🤔
  12. SMU

    TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

    1,2 na 6 ndio wameshatangulia, sio? Pamoja na Le Mutuz, Mzee Malecela alikuwa na watoto 7 tu ama kuna wengine?
  13. SMU

    Nimefukuzwa kazi leo, kama umeajiriwa jifunze kitu hapa

    Pole. Geuza hii ya kufukuzwa kazi kama fursa kwako. Unaweza! Jiajiri na kisha ajiri wengine.
Back
Top Bottom