Recent content by smtext

  1. S

    Natafuta kazi yoyote

    Mimi ni kijana nimemaliza form VI. Hivyo natafuta kazi ili nimudu mahitaji yangu ya kila siku.
  2. S

    Huyu mwanaume jamani!

    Mfuate huko huko Arusha kila kitu kitafahamika.wewe unazani ukipata matatizo mwanza nani atakusaidia?tafakari chukua hatua
  3. S

    Mapya ya anaedai kubakwa na kapuya...

    Ifikie kipindi tukae chini tuangalie mambo yanavyokwenda.Je? ni halali kwa mtu kama kapuya kufanya UCHAFU huu then tunaanza kumkingia kifua? Binafsi nawaomba tuungane kumsapoti binti huyu na kuakikisha mwalifu anapata adhabu stahiki bila kujali wadhifa wake.
  4. S

    Msaada website matokeo darasa la saba

    necta.go.tz utapata kila kitu
  5. S

    Naombeni ushauri wenu

    nashukuru ndugu zangu kwa ushauri mnaoendelea kunipa maana unatia matumaini
  6. S

    Naombeni ushauri wenu

    mimi ni kijana wa kiume umri ni miaka 22.ninaishi na mama yangu kwani baba alitangulia mbele ya HAKI miaka mingi iliyopita pindi nikiwa darasa la tatu.Nimeishi na mama yangu kwa muda wote na nimefanikiwa kufika kidato cha sita nilipokuwa nikisoma masomo ya PCB na kuhitimu mwaka 2012.matokea...
  7. S

    Nahitaji contact ya kiongozi yeyote wa chuo cha utabibu kilosa

    Mimi ni mmoja ya wanafunzi waliochaguliwa na wizara ya afya kujiunga na chuo cha utabibu kilosa na bado sijapata joining form.naomba yeyote mwenye mawasiliano ya kiongozi yeyote wa hapo chuoni anisaidie niwasiliane nao.
  8. S

    Marketing job available

    contact
  9. S

    PICHA ILYONIHUZUNISHA EBU IPE MENENO YAKE HII PICHa

    dah! inasikitisha na kuhuzunisha sana
Back
Top Bottom