Recent content by smnssr2

  1. smnssr2

    Neno mpenzi wangu unalitamkaje kwa kiruga chenu?

    Habib kwa men habibty kwa dem ila hubby ndo poa kibabambado
  2. smnssr2

    BEN KINYAIYA: Thats too much Bro

    Mshambaaa tu yule !!!!kuiga ndo kunampeleka peleka
  3. smnssr2

    Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

    Na je kuhusu kizazi ipo ??au umetoa mimba ngapi?!! Maana unaweza hangaika. Mwisho WA siku unamzaaa Taaahira aka mtambo'au choko. Aka ------ Kama KAOGE!!!!!!!
  4. smnssr2

    Natafuta mwanaume wa kuzaa nae

    Toa na wewe wasifu WA au sura kama Remmy ongalla AMA prof.tibai nyumba
  5. smnssr2

    kuhusu facebook

    Nenda kwny Facebook search mserch utampata tu ndugu mambo kuulizana au vp'!!!si wote walienda IT. Hzi hz simu watu wanasoma angalau kujua kufungua fb tweeter jf whatsup nk
  6. smnssr2

    Faida za matumizi ya bamia (Benefits of eating lady finger or okra)

    Ili nijue itaponesha nimetumia aina na aina ya tiba mmbadala !!muhimu diet control
  7. smnssr2

    Faida za matumizi ya bamia (Benefits of eating lady finger or okra)

    Inashusha tu !ila haiponeshi! Na ni nzuri WA wasiogope watumie!!! Mm nimeshatumia sana na nina kila aims
  8. smnssr2

    Upepo mkubwa watikisa Jiji la Dar usiku, umeme wakatika!

    Huku masaki ngurumo na meta na upepokali ulitawala kwa dk kama 20.na umeme Hamna !upepo ulikuwa mkali saaana!!!!
  9. smnssr2

    Upepo mkubwa watikisa Jiji la Dar usiku, umeme wakatika!

    Ndugu yaani acha mpk umeme umekati
  10. smnssr2

    Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

    Ngombe Hali kinywesi wala mizoga!!kesi yake tofauti na kiti moto!!kuna tinnea sollium hao ndo minyoo tegu!!yaaani haiteguki ni balaaa!!!!
  11. smnssr2

    Hii ni sawa kwa daktari

    Kama itahuwa na madhara atamshauri au vp
  12. smnssr2

    Hii ni sawa kwa daktari

    Jaman hata nyumbani kwako unaulizwa na mkeo utapenda ule nn leo??yaaani roho inapennda ?na dr Ana haki ya kumuuuliza mgonjwa wake anatumia dawa gani ndo Ina msaidia
  13. smnssr2

    TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

    Daaahhh sauz hawarudi wakienda!!!!!??????
Back
Top Bottom