Recent content by smmpilly

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mashirika Manne ya ndege kuungana, Kenya, Rwanda, Mauritius na Afrika Kusini.

    Bro. ebu pata Coca moja Bariiiidi hapo kwa Mangi arafu ulipe kwa niaba yangu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mashirika Manne ya ndege kuungana, Kenya, Rwanda, Mauritius na Afrika Kusini.

    Aisee Taifa linapita kipindi Kigumu?!!!!!, bila shaka unatania tu Mkuu. Sasa DRC wanapita kipindi gani?.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mashirika Manne ya ndege kuungana, Kenya, Rwanda, Mauritius na Afrika Kusini.

    Hilo ndio Tatizo kubwa sana. Watu wameaminishwa kwa muda mrefu na wameamini hivyo.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mashirika Manne ya ndege kuungana, Kenya, Rwanda, Mauritius na Afrika Kusini.

    Vipi Mkaruka Mkuu amechezea kamrija kako nini?. Maana waathirika wote hawataki kukubali enzi zimebadirika, badala yake wanajiliwaza kwa kumchukia Mkuu. Anachofanya ni kwa manufaa mapana kwa sisi na vizazi vyetu.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mashirika Manne ya ndege kuungana, Kenya, Rwanda, Mauritius na Afrika Kusini.

    Mkuu wangu ninachokuombea ni Afya na Uhai ili uweze kushuhudia maendeleo makubwa ya Nchi yako yatakayoletwa na huyo jamaa unaemchukia kiasi kwamba uko NEGATIVE kwa kila anachofanya, tena anafanya kwa manufaa yako na kizazi chako.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mashirika Manne ya ndege kuungana, Kenya, Rwanda, Mauritius na Afrika Kusini.

    Hujamjua Magu jipe Muda, usimchukulie POA. Ile AKILI kubwa Bro.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mashirika Manne ya ndege kuungana, Kenya, Rwanda, Mauritius na Afrika Kusini.

    Mwenyezi Mungu akusamehe, yaani Magu ni Tatizo kubwa?!!!!!!. Ile ni AKILI Kubwa sana, ili umuelewe unahitaji utulivu vinginevyo itakuchukua muda mrefu kumuelewa. Utamuelewa vizuri Manufaa ya anachokifanya sasa yatakapo anza kupatikana.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mashirika Manne ya ndege kuungana, Kenya, Rwanda, Mauritius na Afrika Kusini.

    Ukiwa Negative kwa kila kitu huo ni Mtihani, huwezi jua uwezo wako mpaka ujaribu kutenda jambo. Lengo kuu la sisi kununua Ndege ni kukuza Utalii, TZ niya pili Duniani kwa vivutio vya Utalii. Sasa wewe unaushauri gani?, tuuze Ndege zote tugawane pesa?.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kuusema ukweli mchungu, Pamoja na unyonyaji wa Clouds FM lakini hawawezi kushushwa na yeyote hata awe WCB

    Issue sio kushushwa inatakiwa wasiwe ZURUMATI, wao wapate na Wasanii pia wapate. Bila shaka mpaka sasa Akili ishawakaa sawa hawawezi kuendeleza UBWANYENYE wao.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimetekwa China

    Dish Limeyumba; Moja haikai Mbili haikai yaani ni Tafrani.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri Vicensia Shule: Rushwa ya Ngono inatawala Chuo Kikuu DSM

    Hili tatizo ni kubwa sana kwenye Vyuo vyote na wahusika ni wote wawili yaani baadhi ya Walimu na baadhi ya Wanavyuo pia.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

    Aisee umeshamaliza majibu yote kabisa. Nadhani hakufikilia yote hayo.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kuandaliwa ' Kisaikolojia ' leo na Polisi wa Kisiwani Puerto Rico huenda lengo Kuu / Mama likawa na hili linalokuja

    Harafu baada ya hapo mnalalamika hamna Uhuru wa kujieleza!!!!!!!.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Uchawi imani potofu zina application kwenye kilimo?

    Haya JF tafadhari mpatie Invoice yake alipie Tangazo.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Watangazaji Clouds Fm kipindi cha Jahazi waitana 'Mashoga'

    Kumbe SioRIZK FM ni WAHENGA kwenye hiyo fani tangu 2013, wangekuwa wanazaa mtoto keshaanza Shule.
Back
Top Bottom