Nataka kuusema ukweli mchungu, Pamoja na unyonyaji wa Clouds FM lakini hawawezi kushushwa na yeyote hata awe WCB

Clouds FM ilituhumiwa sana na inaendelea kutuhumiwa kuwanyonya wanamuziki kwa namna mbali mbali,

Lakin ukiangalia jinsi clouds FM walivyo pangilia vipindi vyao wana mashabiki na wadau wa rika mbali mbali kulingana na kipindi ,

Hii husababishwa na aina ya watangazaji na waajiriwa wa radio na TV hiyo kuwa na weledi katika vipindi vyao,

1.LEO TENA
Hapa kipindi hiki kimeendeshwa kwa umakini mkubwa na watangazaji, ambao uwapasha watanzania habari zivutiazo kwenye kipindi kwa njia mbali mbali , habari za kila kukicha na uwasilishaji wake ni tofauti sana,

2.AMPLIFIER YA MILLARD AYO
Hii inadhaminiwa au bado iko chini ya clouds ,aina ya report habari za MILLARD ina wafuasi wake pia,

3. XXL (EXTRA EXTRA LARGE)
Hapa utakutana na watu kama Fetty,
Adam mchomvu
B dozen na wengine
Hawa pia kipindi chao uleta mvuto kwa wasikilizaji wake na kufanya kuwa na shahuku ya muda wa kipindi kufika wasikilize,

4. SPORTS EXTRA
Wapenda soka wengi walianza kuvutiwa kipindi hiki kila ufikapo muda wa saa tatu usiku,
Hapa ndo utapata habari za michezo kwa undani, za ndani na nje ya nchi,

Utakutana na watu kama
Edga kibwana
Shaffy Dauda
Ally mayai mchambuzi ualikwa kuchambua

Wachambuzi hawa ni wajuzi sana wa mambo ya soka na uchambuzi wake kwa ujumla,
Hivo kipindi hiki kina wadau wake, hata wazee rika zote wanasikiliza, siyo watoto tu wala vijana tu,

5.JAHAZI
Hapa utakutana na Efraim Kibonde,
Captain G habashi,

6.SHILAWADU
hawa wamejivunia watu kibao na wamefanya section hii ifuatiliwe sana maana watanzania wengi wamejikita katika umbea, wanakipenda sana kipindi hiki,

SEHEMU PEKEE AMBAYO WCB WANAWEZA LETA USHINDANI NI KWENYE MATAMASHA TU
Lakin so kwenye programs nyingine kama walivyo clouds,

Zimeanza radio Nyingi kushindana na Clouds lakin kuna sehem wanakwama
Mfano E FM na nyingine nyingi,

KWANINI SO RAHIS KUISHUSHA CLOUDS
1.Channel ambayo imeshajenga na watanzania ni kubwa sana,

2.Pili inaongozwa na watu wajanja wenye exposure wanajua wafanye nini na wafanye wapi au wanaweza kumleta nani ambaye atanogesha matamasha

3. Timu za diamond na Ali Kiba naziona kwa mbali zinaanza kuwaandama washindani wanaokuja yaan WCB

4.WCB wanakosea kulewa sifa mapema, wamejitangaza moja kwa moja kwamba wana mashindano na mtu fulani badala wangefanya programs zao kwa umakini kimya kimya bila kuonesha kama wanashindana na mtu ingeleta tija, sasa wameanza kama ni vita,

5. Vijana wenye kipaji ambao bado hawawezi kujisimamia na waganga njaa bado wwapo wengi mtaani, ambao ni mtaji kwa clouds FM, ili suala linawapa kiburi sana,

6.Uongozi wa juu wa Washindani wa Clouds ni watu wasio kuwa na maono, sisemi wote ila nasema Mtu kama Babu Tale na Said Fella, mtashangaa kwanini nawataja hawa tena mtu kama fella mwana CCM wetu,

Sababu Fella hakai kwenye jambo moja kulifanikisha, kila kundi alilowahi ongoza halikudumu sana na sababu zinajulikana, hapa Diamond inabidi awe makini na watu hawa atafte menejiment safi asiwategemee sana,

NINI WCB WAFANYE ILI WADUMU?
1.Programs za radio yao ziwe attractive na zenye ubunifu
2.Wasajili upya watu wa matangazo na ku run programs watu makini na maarufu kwa gharama yeyote maana hela wanayo

3.Waondoe mtazamo wa kuonekana wanashindana na mtu fulani, wafanye mambo yao bila kuwaza ushindani usiojenga wa wivu, bali waweza kuwa ushindani wa kuboresha lakin si ninao ona

4.Kwenye Tasnia ya muziki hasa production jaribu kuwaajiri watu wakongwe kama P funk nadhani, Lammer, MJ au nfuateni mfinish Mikka Mwamba,

Wasipofanya hayo mwaka 2025 WCB haifiki watafifia

Britannica
Naomba contacts za Dina Marios nataka nimpe tangazo at Leo Tena
 
Kusaga ana 53 % kwa jina la mke wake, Alafu diamond 45% na mwenye maamuzi makubwa ni Yule mwenye zaid ya 50% shares
Namaanisha kwenye mali mkuu! ukiangalia mpaka lile jengo ambalo ni headquarter ya Wasafi Media karuka kama wamenunua, Kipindi wakina Tale wanaulizwa juu ya lile jengo jibu lao lilikuwa fupi tu "Hilo muulizeni Diamond Mwenyewe!"

Kuhusu hizo Media zote kaziruka lakini ukijaribu kufuatilia chanzo cha kupata wazo la kuanzisha hizo media utajenga picha, ni ugomvi wake ye Ruge hasa ndiyo umepelekea kuanzisha hizo media.
Hakuna nyimbo ya WCB inayopigwa CMG, East Africa TV& Radio, Capital Radio & TV na ITV& Radio One.
 
Clouds FM ilituhumiwa sana na inaendelea kutuhumiwa kuwanyonya wanamuziki kwa namna mbali mbali,

Lakin ukiangalia jinsi clouds FM walivyo pangilia vipindi vyao wana mashabiki na wadau wa rika mbali mbali kulingana na kipindi ,

Hii husababishwa na aina ya watangazaji na waajiriwa wa radio na TV hiyo kuwa na weledi katika vipindi vyao,

1.LEO TENA
Hapa kipindi hiki kimeendeshwa kwa umakini mkubwa na watangazaji, ambao uwapasha watanzania habari zivutiazo kwenye kipindi kwa njia mbali mbali , habari za kila kukicha na uwasilishaji wake ni tofauti sana,

2.AMPLIFIER YA MILLARD AYO
Hii inadhaminiwa au bado iko chini ya clouds ,aina ya report habari za MILLARD ina wafuasi wake pia,

3. XXL (EXTRA EXTRA LARGE)
Hapa utakutana na watu kama Fetty,
Adam mchomvu
B dozen na wengine
Hawa pia kipindi chao uleta mvuto kwa wasikilizaji wake na kufanya kuwa na shahuku ya muda wa kipindi kufika wasikilize,

4. SPORTS EXTRA
Wapenda soka wengi walianza kuvutiwa kipindi hiki kila ufikapo muda wa saa tatu usiku,
Hapa ndo utapata habari za michezo kwa undani, za ndani na nje ya nchi,

Utakutana na watu kama
Edga kibwana
Shaffy Dauda
Ally mayai mchambuzi ualikwa kuchambua

Wachambuzi hawa ni wajuzi sana wa mambo ya soka na uchambuzi wake kwa ujumla,
Hivo kipindi hiki kina wadau wake, hata wazee rika zote wanasikiliza, siyo watoto tu wala vijana tu,

5.JAHAZI
Hapa utakutana na Efraim Kibonde,
Captain G habashi,

6.SHILAWADU
hawa wamejivunia watu kibao na wamefanya section hii ifuatiliwe sana maana watanzania wengi wamejikita katika umbea, wanakipenda sana kipindi hiki,

SEHEMU PEKEE AMBAYO WCB WANAWEZA LETA USHINDANI NI KWENYE MATAMASHA TU
Lakin so kwenye programs nyingine kama walivyo clouds,

Zimeanza radio Nyingi kushindana na Clouds lakin kuna sehem wanakwama
Mfano E FM na nyingine nyingi,

KWANINI SO RAHIS KUISHUSHA CLOUDS
1.Channel ambayo imeshajenga na watanzania ni kubwa sana,

2.Pili inaongozwa na watu wajanja wenye exposure wanajua wafanye nini na wafanye wapi au wanaweza kumleta nani ambaye atanogesha matamasha

3. Timu za diamond na Ali Kiba naziona kwa mbali zinaanza kuwaandama washindani wanaokuja yaan WCB

4.WCB wanakosea kulewa sifa mapema, wamejitangaza moja kwa moja kwamba wana mashindano na mtu fulani badala wangefanya programs zao kwa umakini kimya kimya bila kuonesha kama wanashindana na mtu ingeleta tija, sasa wameanza kama ni vita,

5. Vijana wenye kipaji ambao bado hawawezi kujisimamia na waganga njaa bado wwapo wengi mtaani, ambao ni mtaji kwa clouds FM, ili suala linawapa kiburi sana,

6.Uongozi wa juu wa Washindani wa Clouds ni watu wasio kuwa na maono, sisemi wote ila nasema Mtu kama Babu Tale na Said Fella, mtashangaa kwanini nawataja hawa tena mtu kama fella mwana CCM wetu,

Sababu Fella hakai kwenye jambo moja kulifanikisha, kila kundi alilowahi ongoza halikudumu sana na sababu zinajulikana, hapa Diamond inabidi awe makini na watu hawa atafte menejiment safi asiwategemee sana,

NINI WCB WAFANYE ILI WADUMU?
1.Programs za radio yao ziwe attractive na zenye ubunifu
2.Wasajili upya watu wa matangazo na ku run programs watu makini na maarufu kwa gharama yeyote maana hela wanayo

3.Waondoe mtazamo wa kuonekana wanashindana na mtu fulani, wafanye mambo yao bila kuwaza ushindani usiojenga wa wivu, bali waweza kuwa ushindani wa kuboresha lakin si ninao ona

4.Kwenye Tasnia ya muziki hasa production jaribu kuwaajiri watu wakongwe kama P funk nadhani, Lammer, MJ au nfuateni mfinish Mikka Mwamba,

Wasipofanya hayo mwaka 2025 WCB haifiki watafifia

Britannica
Unachotakiwa kufahamu ni kuwa, hizo program ulizosema nzuri na zinafuatiliwa vizuri hata mimi sasa hivi nipo na 360 hapa, zinafadhiliwa na jasho la wasanii. Yaani unamfanyisha mtu tamasha, unapata mil 1, yeye unampa laki au 50k.

Pesa iliyobaki, inaenda kuwalipa watu mahiri radioni na runingani.

Sasa diamond kaingia na mtaji mkubwa. Kwanza halengi kuwavuna wasanii. Pili, mapato ya ziada yatamsaidia kuajiri watu makini na kuanzisha program ambazo zitabamba muda si mrefu
 
Hivi kumbe Fetty bado yuko mawingu!!!! kuna Dada fulani aliwahi kuniambia huyo Dada aliacha kazi mawingu ili kufanya mambo yake kumbe ilikuwa chai!!!
Basi biashara itakuwa imegoma,ni kweli aliacha ili awe huru kufanya business zake
 
Kuna wakati RFA ilikuwa the best hata kuliko clouds. Ila walizembea mahala wakapoteza dominance. The point is usipokuwa mbunifu utapoteza influence.

Hata Clouds nao hii market share kubwa wanayo enjoy haikuja overnight, ilijengwa. They started from humble beginnings.

WCB nao wakikomaa wakaja na contents nzuri, watu sahihi, process sahihi, wanaweza kuwa one of the giants in the country, nao hata kimataifa. Hili linawezekana kabisa.

Kwani nani alitegemea WCB as a brand watakuwa kufikia level waliyonayo sasa? Kama wameweza kupenetrate African market, wanaweza pia kukuza media houses zao kama wakiwa na mkakati mzuri. Just give them time.
Hajasema hawawezi kabisa kumshusha Clouds, ila katoa ushauri wakitaka kuishusha Clouds wawe serious na content, kuliko kuendekeza maneno ya beef! Hata Clouds haikuzishusha Radio One na RFA kwa kujipambanua kuwa inapambana nao kama wanavyofanya Wasafi via Diamond, bali waliwekeza katika ubunifu wa vipindi, kutafuta vipaji vya watangazaji sahihi, kujishughulisha kwenye social responsibilities, n.k
 
True mkuu, clouds watafunikwa na wasafi festival Tu ila mengine WCB watasubiri kidog,

Additional.... Fiesta vs wasafi festival

Fiesta 40%.
Wasafi festival 60%.
Na nakuhakikishia jinsi muda unavyokwenda Fiesta itafunika tena. Kinachofanya kila kitu ni ubunifu na sio kelele za mitandaoni. Na kwenye ubunifu nadhani Clouds unawaelewa.

Pili watu huwa wana vibe na kitu kipya kinapoingia ila wakishakichoka wanarudi kwenye utamu wao wa mwanzo. Sasa hivi Wasafi festival inashadadiwa sana ila ipe miaka mi3 utaniambia!

Hata ubora wa haya matamasha kwa kweli ni tofauti. Hapa siongei sana ila kiukweli nimeona wasafi festival bado iko mbali sana na fiesta katika ubora ukiacha ule mzuka wa watu juu ya kitu kipya.

Wasafi wanahitaji kuwekeza zaidi kwenye ubunifu tena ikiwezekana wafanye hii kitu kimya kimya sana. Wakimbize mwizi kimya kimya watajikuta wana market share kubwa ila sio kulia lia miyandaoni kutafuta huruma ya watu. Nani anahitaji kuisikiliza redio kwa kuwahurumia? Watu tunataka contents nzuri.

N.B:
Niwakumbushe kwamba zote ni za mtu mmoja Jose Kusaga! Hata Wasafi au Clouds ifunike nyingine still mnufaika ni mmoja tu. So kabla hujamwaga povu katika hili hakikisha unaligahamu ili. Hii itakusaidia kuacha ushabiki na kuchambua points kama sisi wenzio.
 
Suala la msingi ni je wanayo lalamikiwa na watanzania kuwanyonya wasanii ni kweli au sio kweli? Sio suala la Nani na jinsi gani ataanguka! Kitu kikikaa kwenye mioyo ya watu kama kweli kipo ni suala la muda tu
 
Na nakuhakikishia jinsi muda unavyokwenda Fiesta itafunika tena. Kinachofanya kila kitu ni ubunifu na sio kelele za mitandaoni. Na kwenye ubunifu nadhani Clouds unawaelewa.

Pili watu huwa wana vibe na kitu kipya kinapoingia ila wakishakichoka wanarudi kwenye utamu wao wa mwanzo. Sasa hivi Wasafi festival inashadadiwa sana ila ipe miaka mi3 utaniambia!

Hata ubora wa haya matamasha kwa kweli ni tofauti. Hapa siongei sana ila kiukweli nimeona wasafi festival bado iko mbali sana na fiesta katika ubora ukiacha ule mzuka wa watu juu ya kitu kipya.

Wasafi wanahitaji kuwekeza zaidi kwenye ubunifu tena ikiwezekana wafanye hii kitu kimya kimya sana. Wakimbize mwizi kimya kimya watajikuta wana market share kubwa ila sio kulia lia miyandaoni kutafuta huruma ya watu. Nani anahitaji kuisikiliza redio kwa kuwahurumia? Watu tunataka contents nzuri.

N.B:
Niwakumbushe kwamba zote ni za mtu mmoja Jose Kusaga! Hata Wasafi au Clouds ifunike nyingine still mnufaika ni mmoja tu. So kabla hujamwaga povu katika hili hakikisha unaligahamu ili. Hii itakusaidia kuacha ushabiki na kuchambua points kama sisi wenzio.
We umeeleza vema bila kuhusisha mahaba, umeusema ukweli, tatizo katika kujadili jambo ukishaweka mahaba umeharibu
 
Na nakuhakikishia jinsi muda unavyokwenda Fiesta itafunika tena. Kinachofanya kila kitu ni ubunifu na sio kelele za mitandaoni. Na kwenye ubunifu nadhani Clouds unawaelewa.

Pili watu huwa wana vibe na kitu kipya kinapoingia ila wakishakichoka wanarudi kwenye utamu wao wa mwanzo. Sasa hivi Wasafi festival inashadadiwa sana ila ipe miaka mi3 utaniambia!

Hata ubora wa haya matamasha kwa kweli ni tofauti. Hapa siongei sana ila kiukweli nimeona wasafi festival bado iko mbali sana na fiesta katika ubora ukiacha ule mzuka wa watu juu ya kitu kipya.

Wasafi wanahitaji kuwekeza zaidi kwenye ubunifu tena ikiwezekana wafanye hii kitu kimya kimya sana. Wakimbize mwizi kimya kimya watajikuta wana market share kubwa ila sio kulia lia miyandaoni kutafuta huruma ya watu. Nani anahitaji kuisikiliza redio kwa kuwahurumia? Watu tunataka contents nzuri.

N.B:
Niwakumbushe kwamba zote ni za mtu mmoja Jose Kusaga! Hata Wasafi au Clouds ifunike nyingine still mnufaika ni mmoja tu. So kabla hujamwaga povu katika hili hakikisha unaligahamu ili. Hii itakusaidia kuacha ushabiki na kuchambua points kama sisi wenzio.
Ndiyo kusaga ndo mwenye hisa kubwa clouds 53%
 
iwa Sports extra nice wanachama was SSC_Simbaa!!!sana na inaendelea kutuhumiwa kuwanyonya wanamuziki kwa namna mbali mbali,

Lakin ukiangalia jinsi clouds FM walivyo pangilia vipindi vyao wana mashabiki na wadau wa rika mbali mbali kulingana na kipindi ,

Hii husababishwa na aina ya watangazaji na waajiriwa wa radio na TV hiyo kuwa na weledi katika vipindi vyao,

1.LEO TENA
Hapa kipindi hiki kimeendeshwa kwa umakini mkubwa na watangazaji, ambao uwapasha watanzania habari zivutiazo kwenye kipindi kwa njia mbali mbali , habari za kila kukicha na uwasilishaji wake ni tofauti sana,

2.AMPLIFIER YA MILLARD AYO
Hii inadhaminiwa au bado iko chini ya clouds ,aina ya report habari za MILLARD ina wafuasi wake pia,

3. XXL (EXTRA EXTRA LARGE)
Hapa utakutana na watu kama Fetty,
Adam mchomvu
B dozen na wengine
Hawa pia kipindi chao uleta mvuto kwa wasikilizaji wake na kufanya kuwa na shahuku ya muda wa kipindi kufika wasikilize,

4. SPORTS EXTRA
Wapenda soka wengi walianza kuvutiwa kipindi hiki kila ufikapo muda wa saa tatu usiku,
Hapa ndo utapata habari za michezo kwa undani, za ndani na nje ya nchi,

Utakutana na watu kama
Edga kibwana
Shaffy Dauda
Ally mayai mchambuzi ualikwa kuchambua

Wachambuzi hawa ni wajuzi sana wa mambo ya soka na uchambuzi wake kwa ujumla,
Hivo kipindi hiki kina wadau wake, hata wazee rika zote wanasikiliza, siyo watoto tu wala vijana tu,

5.JAHAZI
Hapa utakutana na Efraim Kibonde,
Captain G habashi,

6.SHILAWADU
hawa wamejivunia watu kibao na wamefanya section hii ifuatiliwe sana maana watanzania wengi wamejikita katika umbea, wanakipenda sana kipindi hiki,

SEHEMU PEKEE AMBAYO WCB WANAWEZA LETA USHINDANI NI KWENYE MATAMASHA TU
Lakin so kwenye programs nyingine kama walivyo clouds,

Zimeanza radio Nyingi kushindana na Clouds lakin kuna sehem wanakwama
Mfano E FM na nyingine nyingi,

KWANINI SO RAHIS KUISHUSHA CLOUDS
1.Channel ambayo imeshajenga na watanzania ni kubwa sana,

2.Pili inaongozwa na watu wajanja wenye exposure wanajua wafanye nini na wafanye wapi au wanaweza kumleta nani ambaye atanogesha matamasha

3. Timu za diamond na Ali Kiba naziona kwa mbali zinaanza kuwaandama washindani wanaokuja yaan WCB

4.WCB wanakosea kulewa sifa mapema, wamejitangaza moja kwa moja kwamba wana mashindano na mtu fulani badala wangefanya programs zao kwa umakini kimya kimya bila kuonesha kama wanashindana na mtu ingeleta tija, sasa wameanza kama ni vita,

5. Vijana wenye kipaji ambao bado hawawezi kujisimamia na waganga njaa bado wwapo wengi mtaani, ambao ni mtaji kwa clouds FM, ili suala linawapa kiburi sana,

6.Uongozi wa juu wa Washindani wa Clouds ni watu wasio kuwa na maono, sisemi wote ila nasema Mtu kama Babu Tale na Said Fella, mtashangaa kwanini nawataja hawa tena mtu kama fella mwana CCM wetu,

Sababu Fella hakai kwenye jambo moja kulifanikisha, kila kundi alilowahi ongoza halikudumu sana na sababu zinajulikana, hapa Diamond inabidi awe makini na watu hawa atafte menejiment safi asiwategemee sana,

NINI WCB WAFANYE ILI WADUMU?
1.Programs za radio yao ziwe attractive na zenye ubunifu
2.Wasajili upya watu wa matangazo na ku run programs watu makini na maarufu kwa gharama yeyote maana hela wanayo

3.Waondoe mtazamo wa kuonekana wanashindana na mtu fulani, wafanye mambo yao bila kuwaza ushindani usiojenga wa wivu, bali waweza kuwa ushindani wa kuboresha lakin si ninao ona

4.Kwenye Tasnia ya muziki hasa production jaribu kuwaajiri watu wakongwe kama P funk nadhani, Lammer, MJ au nfuateni mfinish Mikka Mwamba,

Wasipofanya hayo mwaka 2025 WCB haifiki watafifia

Britannica[/QUOTE]
 
Kuandika 1 badala ya 7 ni error? Au wewe hujalisoma hili bandiko lako?
Hivi content iliyopo ipoteze ubora sababu ya kukosea namba?
Wewe vip?
 
Hitler mwenyewe pamoja na ubabe wake wote alishushwa kama kuku sembuse hao clouds?

Man u mwenyewe alikuwa mbabe lakini now muangalie anavyotapa tapa

Mkuu dunia hi hakuna mbabe wa milele siasa ndio fani yako mengine huyawezi
Ndoto za alinacha
 
Issue sio kushushwa inatakiwa wasiwe ZURUMATI, wao wapate na Wasanii pia wapate.
Bila shaka mpaka sasa Akili ishawakaa sawa hawawezi kuendeleza UBWANYENYE wao.
 
Umeongea ukwel mtupu..... Ni kosa san kuingia kwenye tasnia kubwa km hii kwa kigezo cha kuja kushindana na fulani, big mistake.

Kweny tasnia hii ushindani upo automatically, kamwe hautosikia media kubwa km CNN & AL-JAZEERA wanatambiana, au ITV & STAR TV, kila mmoja yupo kivyake lkn ushindani upo automatically among wasikilizaji.

Walichotakiwa kufanya WCB ni kuifanya CLOUDS kama ROLE MODEL, kwa sabab njia zooote wanazopita ni sawa sawa na zile za clouds, ni km wamecopy na kupaste tuu.

Km kweli wao wajanja basi waje na kitu kipya ambacho hakijawahi fanywa na clouds.

PERIOD.
Fact
 
Back
Top Bottom