Mimi ni mara yangu ya kwanza kuitwa kwenye usaili na secretariat ya ajira kwa nafasi ya cooperative officer(afisa ushirika) naombeni msaada wenu kuhusu fomart na aina ya maswali yanayoulizwa kwenye written yanayo husiana na hii post
Asanteni
kweli ajira ni ngumu ila kwa mawazo yangu mm ni kuhusu mchakato wa kureview vyeti kabla ya kuajiriwa, wengi walioko makazini ukifanya review ya vyeti vyao ni vyakufoji ila wahitimu wenye magamba yao halali wengi ndio hawana ajira. eg nawajua kama watu 3 ambao walifeli form4(div 4 na zero) ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.