mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,757
Habari wakubwa,ndugu yangu ni moja kati ya walioitwa kwenye interview PPF,naomba kujuzwa interview za hili shirika huwa zinakuwaje kwa walioitwa mara ya kwanza,na huwa wanauliza vitu gani,kwa anaefahamu msaada please
"Comment za matusi haziwezi kutujenga kamwe"
"Comment za matusi haziwezi kutujenga kamwe"