Mimi ni mara yangu ya kwanza kuitwa kwenye usaili na secretariat ya ajira kwa nafasi ya cooperative officer(afisa ushirika) naombeni msaada wenu kuhusu fomart na aina ya maswali yanayoulizwa kwenye written yanayo husiana na hii post
Jitaidi kusoma mambo ya darasani especially kwenye iyo post uliyoitwa ila usisaau na mambo mengine kupitia ila kiufupi utumishi uwa hawaeleweki. nice interview kijana
jitaidi kusoma mambo ya darasani especially kwenye iyo post uliyoitwa ila usisaau na mambo mengine kupitia ila kiufupi utumishi uwa hawaeleweki. Nice interview kijana
Afisa Biashara walizitangaza mwezi wa saba na bado hawajaitwa watu kwa usaili, wameita kwa zile nafasi walizozitangaza mwezi wa sita.
Endelea tu kusubiri!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.