Recent content by SmartkidInk

  1. SmartkidInk

    Kumbe kweli mizigo ya Rwanda (export) inapita Tanzania bila kulipa kodi!

    Kuna watu Jamiiforums wanaleta Threads ila ni wapumbavu sana.
  2. SmartkidInk

    Tulio na madigrii tunaaibishwa sana na failures aisee! Nini maoni yako?

    Kuna tofauti kubwa kati ya Elimu na IQ pia wasomi wengi wanapenda kuajiliwa wakati wasio soma hawana uhakika wa kuajiliwa hivyo hufanya juhudi za kujiajili na mwisho wa siku hufanikiwa kimaisha.
  3. SmartkidInk

    Zitto Kabwe: Kufufua ATCL ni shabaha yetu sote Watanzania. Tunapishana kwenye mbinu za utekelezaji

    Watu wanaoishi kwa mitaji ya Siasa Wafanyabiashara wote wakubwa duniani wanaanza kujiwekeza wenyewe zen ndio wakiona wanahimili ndo wanakopa au kibiashara kukopesheka na hili hujidhihirisha pale unapoenda kuomba mkopo bank lazima wachunguze biashara yako au dhamana. Ndio maana Elimu yetu watu...
  4. SmartkidInk

    Wasafi TV kuanguka kabla ya kuanza

    Kweli mkuu me sijawahi kumpenda Diamond platnumz kwenye Muziki ila hustle zake kwenye fursa, kujiamini na kuupata mkwanja huwa namuelewa kinoma.
  5. SmartkidInk

    Wasafi TV kuanguka kabla ya kuanza

    Mumehamisha magori toka kwake mpaka Wasafi tv Mulizani haiwezekani kumiliki Tv ndio basi tena Domo ameshampiga.
  6. SmartkidInk

    Ni aibu kubwa kwa makampuni wanaomdhamini Diamond Platnumz kwa tabia hii

    Toa jibu maana andiko lako inaonyesha kama Domo kaoa.
  7. SmartkidInk

    Ni aibu kubwa kwa makampuni wanaomdhamini Diamond Platnumz kwa tabia hii

    Kwani Domo ameshaoa me nipo huku Nkasi no network.
  8. SmartkidInk

    Sakata la scripals, US yawatimua wanadiplomasia 60 wa urusi, urusi nay yasema itawatimua wamarekani

    Ukiacha hilo mkuu pia Marekani haina vyanzo vyake vya uzalishaji wa Mafuta na Gas ila inategemea kupora kama ilivyofanya Iraq na Libya kwa kutumia njia hawezi kulihudumia soko.
  9. SmartkidInk

    Sakata la scripals, US yawatimua wanadiplomasia 60 wa urusi, urusi nay yasema itawatimua wamarekani

    Urusi haijawahi kufeli kwa taifa lolote duniani ngoja hii vita Muingereza atakavyo lala chali.
  10. SmartkidInk

    Naibu Waziri Juliana Shonza na Waziri Mwakyembe, ujumbe huu unawahusu

    Old is gold kwa kuwa vinabaki kama kumbu kumbu ila real is current situation.
  11. SmartkidInk

    Baba yake Diamond: Mwanangu ananisikitisha sana, nilishawahi kuhisi sina mtoto

    Vijana musitoe wala kutupa vingine ni Dhahabu cc Justin Beiber mama yake alipata mimba akiwa na umri wa miaka 17 ila wazo la kutoa lilimjia na kulipuuza.
  12. SmartkidInk

    Naibu Waziri Juliana Shonza na Waziri Mwakyembe, ujumbe huu unawahusu

    Hii sio sahihi umejichanganya Mkuu.
Back
Top Bottom