Recent content by smartboy36

  1. S

    Hizi ndizo dhambi kubwa

    Dhambi ni kosa la mtu yeyote mwenye kuvunja makusudi Amri za Mungu au za Kanisa kwa mawazo,kwa maneno au kwa vitendo. Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
  2. S

    Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Na Leo nmeota kuna wenzangu wanafanya mtihani ila mm sikua na karatasi za kujibia nkabidi nakazifate nyumbani ila nlitoka na ule mtihani ukiwa umeandikwa na una majibu nkiwa njiani naelekea nyumbani nkawa nimebeba majani ya ngombe cc wachaga tunaita "makocha" yalikua mazito sana nkayadondosha...
  3. S

    Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Mambo vp mkuu juzi nliota kuna nguo nlizokua napenda kuzivaa sana nlitaka kuzivaa wakati bado nmelala nachambua begi langu kwenye ndoto kikatokea kivuli changu au naweza sema nafsi yangu imevaa zile nguo imependeza ikafungua mlango ikanifata kitandan na kunishika mabega mm nkawa nasema Yesu...
  4. S

    Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Nashukuru sana mkuu,nikweli kuna baadhi ya matukio yameshanitokea katka ufafanuzi ulonipatia ila namshukuru Mungu nimeyashinda na sitachoka kumwomba Mungu japo napitia mitahani migumu sana, Ila ili dhahabu iwe bora zalima ipite kwenye moto. Barikiwa sana mkuu
  5. S

    Siri usiyoijua kuhusu ndoto na tafsiri zake

    Naomba unifafanulie ndoto hizi ambazo huota Mara kwa Mara 1) Nliwahi kuota Mara kadhaa ngombe wa nyumbani kwetu maziwa yamejaa then akazaa nkastuka usingizini 2)Ngombe kwa zizi letu wako wanne akatokea mmoja akazaa boma likajaa then mama angu akaniuliza huyu ndama aliezaliwa hakuna pakumweka mm...
  6. S

    Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

    Kugombana kwa ghafla huwasha moto,na ugomvi wa ghafla humwaga damu. Ukipuliza kaa la moto litawaka zaidi,ukilitemea mate litazimika; hayo yote mawili ni matokeo ya kinywa chako. SIRA28;11-12
  7. S

    Soma upate mawili matatu: Mhitimu mambo ninayopitia kipindi hiki katika harakati zangu

    Unashindwa nini kuandika maneno kwa ufasaha, ni nini maana ya neno Kaxhkaxh na wewe utajiita msomi?
  8. S

    Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

    1.Anna Dar 2.Anna.. 3.Grace Kr 4.Grace 5.Farida.. 6.Glory 7.Rose 8.Eliza 9.Flora 10.Vaileth 11.Aghata 12.Neema 13.Teddy 14.Marry 15.Teddy 16.Zenaice 17.Emiliana 18.Vicky 19.Vicky 20.Blandina 21.Riziki 22.Esta chuga 23.Salome 24.Priscer 25.Jully 26.lightnec 27.Irene...
  9. S

    Unawezaje kununua tunda lililong'atwa?

    Bikra iko kwa wanawake pekee, na siku anayotewa Bikra na huyo mwanamme wake wanafunga agano ile damu inavyomwagika,, sisi wanaume tumefunga agano na Ardhi siku tunayotahiriwa. Kikubwa ukimfuga nyoka iko siku atakumbuka porini.
  10. S

    Wanaume asilimia kubwa tumeoa wake za watu

    Anaitwa mke wa mtu pale anapovunjwa bikira na huyo mwanamme wake ila wengi wetu hivi sasa, tunaenda kufunga ndoa kanisani ili wadau wajue kua nawe umeoa ila kimbembe nipale anapokutana na alemtoa hyo bikra lazma uchapiwe,,, vp ulishawah jiuliza kabla ya dini kuletwa Africa mababu zetu wali...
  11. S

    Wanaume asilimia kubwa tumeoa wake za watu

    Ulishawahi jiuliza kwann Mungu aliwaekea wanawake huo utepe? Kimsingi anaemtoa mwanamke bikra ndio mumewe kupitia hilo agano la kumwagika kwa damu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    Wanaume asilimia kubwa tumeoa wake za watu

    Umeongea ukwel mtupu mkuu,, maana yule aliemtoa bikra ndo kafunga agano na huyo binti ile damu inavyomwagika, na huyu binti atakaeolewa na jemba mwingine cku akikutana na mwana lazima amuheshimu xna na pengine wakumbukie enzi. Ukifuga nyoka iko siku atakumbuka porini Sent using Jamii Forums...
Back
Top Bottom