Recent content by Smart Man

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye serikali yaongeza 'boom' kwa wanafunzi wa elimu ya juu

    Ni reasonable amount kilichopo ni kujibana na kupunguza matumizi yacyo ya lazima kwa watakaonufaika na ongezeko hilo kwani lazima ukumbuke hyo pesa utairudisha watu huku tunalia na makato ya bodi ikiwa kiwango kilikuwa kdogo zaidi ya hicho kilichoongezwa N.B. Kadri wanavyoongeza ndo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Samweli Sitta augua ghafla, alazwa

    Mnashangaa nn kwani yule babu asiye na dini anatafuta nini kwenye hlo bunge?? si ndo kazi yake hyo au hamjui? tumuombee tu presha ishuke maana yawezekana shetani anafanya kampeni.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je wajua

    Utaishia hapo tu!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu wapya 2014 zatangazwa

    Ahsante mkuu licha ya kutokuwa mwenyeji JF ila hii post yako imenifanya nitabasamu kdogo lakn kama kawaida wenye vinyogo wameshaanza kujamba humu je post zikitoka si ndo watakunya kabisaa.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

    Vuteni subira ndugu Walimu bado mh. Mulugo hajapata maslahi yake hvyo amegang'ania flash yenye majina akipata maslahi yake atawapatia then watatangaza tu. inauma ila hakuna lakufanya.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mjumbe hauwawi: Tawi jipya la ukuni linahitaji bendera ya chadema

    Wamejitambua hao na nahisi mh. Mnyika na Tumaini makene na makamanda wengine wapo humu watawapelekea hao vijana bendera faster Peeeople's......
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wana Kagera Njooni Hapa Tutete, Tujadili, Tuzungumze, Tufanye Maamuzi, na Tuchuke Hatua!

    Ndugu umeleta wazo zuri kati ya mambo yanayonifedhehesha na kujiona mnyonge ni pale ninapokutana na wa2 wakaniita nshomile nikipiga taswira nyumbani BWANJAI_buhekela nikazunguka kata takribani tana tulzopakana nazo napata aibu kuna umackni kwa wa2 uliokithiri, njaa n.k. Lakin haya yote ni...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge Wenje akamatwa na polisi

    Mpuuzi mkubwa wewe unawafahamu wahuni??
  9. S

    JamiiForums Tanzania Washauri wa JM Kikwete

    Washauri wakuu ni Mzee Makamba, mh. Lukuvi na Steven Wasira unategemea nini katka maendeleo ya taifa??
  10. S

    JamiiForums Tanzania CCM wafanyia mkutano kituo cha polisi

    Jamani mwacheni kakimbilia sebuleni kuficha uozo wake akijua ukimkosoa tu unawekwa chumban(Ndani) si ndo policcm hyo??
  11. S

    JamiiForums Tanzania Matokeo kata ya mnima-mtwara v.

    CCM imeshinda kata ya Mnima-Mtwara uwez amini wameshinda kwa kura 912 dhidi ya CUF-620, NCCR-486 Na CHADEMA-227.
Back
Top Bottom