Recent content by Smart Eagles

  1. Smart Eagles

    Nafasi ya Kazi Morogoro Mjini Mshahara 180,000/= + Internet ya bure

    Updates : Shukrani wakuu, nafurahi kuwajulisha kuwa nimesha fanikiwa kupata mtu.
  2. Smart Eagles

    Nijenge nyumba ya chini au ghorofa?

    Wacheki jenga real estate
  3. Smart Eagles

    Nafasi ya Kazi Morogoro Mjini Mshahara 180,000/= + Internet ya bure

    Anahitajika binti mwenye uwezo mkubwa wa kutumia simu na computer. Ofisi yetu inafanya kazi 2 ambazo ni kutoa huduma ya internet Morogoro mjini na kukata tiketi za treni ya SGR. Anahitajika mdada smart anayefahamu kutumia computer na simu vizuri, awe sharp na asiye na hasira za hapa na pale...
  4. Smart Eagles

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo Morogoro mjini (bajeti 300,000/=)

    1. Eneo la Kilakala isiwe mbali na kituo cha Tushikamane. 2. Eneo la Kola (iwekaribu na barabara ya pangawe) 3. Eneo la Bigwa (iwekaribu na barabara ya pangawe) Iwe na vyumba 3 vya kulala. Ijitegemee maji na umeme.
  5. Smart Eagles

    Pendezesha kuta za nyumba/ofisi yako kwa taa hizi za urembo

    Bei ni 20,000/= kwa taa 1. Tunatuma nchi nzima. Utalipia baada ya kupokea mzigo. Karibuni. https://smarteaglescompany.blogspot.com/2025/01/hizi-ni-taa-za-kisasa-kwaajili-ya.html
  6. Smart Eagles

    Fursa ya kushirikiana katika kutafuta Masoko ya Bidhaa zako

    Pitia hapa tufanye kazi: gawio la 5000 kwa kila taa, mtu aweke oda ya kuanzia taa 4. Login • Instagram
  7. Smart Eagles

    Trump :USAID have made African countries very lazy.

    Kuna ukweli mchungu hapo.
  8. Smart Eagles

    Wadau naomba mnijuze hiki kifaa kinauzwa bei gani

    Hiyo ukitafuta fundi umeme ni chap unauza.
  9. Smart Eagles

    Wadau naomba mnijuze hiki kifaa kinauzwa bei gani

    Kama hayupo duniani na kama mali zake ulikabidhiwa wewe sawa, kama yupo duniani ni LAZIMA umjulishe maana ni mali yake sio yako.
  10. Smart Eagles

    Wadau naomba mnijuze hiki kifaa kinauzwa bei gani

    Okay ila mjulishe kuwa unataka kukiuza vinginevyo utakuwa umeiba.
Back
Top Bottom