Huyo mbunge analeta tarabu bungeni na kuongea kwa mafumbo,angetaja jina halisi la anayemwita Yuda na athibitishe hizo tuhuma anazomtuhumu.
Kiti cha spika nacho ni dhaifu,angeambiwa athibitishe
Ukisha kufa ndugu yangu,hakuna mtu au mambo yoyote ambayo yatabadilisha Hali Yako ya kiroho.Kwa wewe kama marehemu wakuombee wasikuombe yote sawa.unatakiwa kujindaa vyema kiroho ukiwa hai kuliko kuja kusubiri uombewe baada ya kifo.Nawasilisha
Mimi nakupinga,mwanamke ukimstress in anyhow,eg kucheat au kipigo inakuwa ni rahisi kushawishiwa na wanaume wengine Kwa akili ya kupata furaha aliyoikosa Kwa mme wake.
Nina ushahidi,wingi tumewagonga Kwa style
Mkuu zingine ni za kweli.Mimi mtaa ninaoishi hapa At town,Kuna mwanamke ana mtoto wake wa kwanza Yuko UDOM ,lakini kamwacha mme wake na kwenda kuolewa na mtu mwingine.we achaaaa mkuu
Inauma sana.mimi Kuna siku nilicheat na mke wa mtu,aisee roho iliniuma Sana na nikawa full stressed.Mke wangu alijua nina stress,akanibembeleza nimwambie Kuna shida aweze kunisaidia.Niliingia udhaifu ikabidi nimwambie.Alinuna kidogo baade akanisamehe na wakawa mabest na yule mchepuko wangu ila...
Pole Sana ndugu yangu.mimi nilikuwa fresh kiuchumi,ndugu jamaa na marafiki walikuwa karibu sana.niliyumba Sana kiuchumi baada ya kufukuzwa kazi na wote walinitenga na dharau juu.Nilibaki na make wangu na watoto wangu tu.Nilipiga moyo konde.nikapambana na kesi hatimaye nikarudishwa kazini na...
Kiukweli Mimi ni mwalimu wa sekondari Tena sayansi,najimudu kitaaluma na kihojo.mzazi kama hiyo kwangu angekula kipigo na kumfungulia kesi ya uvamizi kwenye majengo ya serikali na kukwamisha shughuli za ufundishaji.
Nilishawahi kufanya hivyo kipindi Cha nyuma.Nilimpa adhabu form...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.