Baada ya hotuba ya leo..nani sasa tumwamini kati ya tume ikiyofanya utafiti na kukutana na wananchi pamoja na mabaraza ya katiba au mtukufu raisi na msimamo wa chama?
Swali jingine la kujiuliza ni je..mbona hakuzungumzia malalamiko ya watanganyika kwenye muungano?
Leo nimeshuhudia majibu mepesi kwa maswali magumu mno...
Ikiwa matatizo ya muungano bado yapo hata wakati tunasherehekea miaka 50, je si wakati muafaka wa kujaribu serikali 3?
Ni siku nyingi zimepita Tangu Raisi huyo wa zamani wa Afrika Kusini (Nelson Mandela) kulazwa hospitalini.
Mimi nimefurahishwa na jambo moja kubwa; "Hakupelekwa nje ya nchi yake kwa ajili ya matibabu".
Hili limenipelekea kujiuliza maswali kadhaa,.....
Vipi hali ya hospitali na zetu hapa...
Mojawapo ya mambo yanalalamikiwa kwenye katiba ya sasa na sheria zake ni pamoja na swala la umiliki wa ardhi;
1. Swala la Raisi kuwa na mamlaka na ardhi yote
2. Swala la wageni kumiliki ardhi
3. Kiasi cha Ardhi mtu mmoja anachoweza kumiliki
n.k
Rasimu ya katiba mpya nayo imekaa kimya kuhusu...
Nimepitia Rasimu nzima, sijaona popote ambapo swala la Afya limetajwa.
Access to quality health services is fundamental right. Mbona halijitokezi kwenye rasimu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.