Recent content by smakweta

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nani aliyemshauri Rais Magufuli amjibu Lowassa?

    Msimguse my heart presdar
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Nimekunwa na nyaraka za Tundu Lissu

    Unajua bashe ni muungwana msema kweli ccm ni watanzania ndo maana wameifikisha Tanzania hapa,sio wamalawi au waganda,ila kwasababu watufikisha hapa eidha kwa maksudi au bahati mbaya lkn ndio wao.kwa hiyo ili mungu akusamehe ni lazima ujikane mwenyewe,kwa Yale uliomkosea mungu ili akuamini unajua...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Benki ya dunia yaitabiria Tanzania kuwa nchi ya tatu yenye uchumi unaokuwa kwa kasi zaidi Afrika

    Uchumi UPI?au ndo zile rambirambi zianza kutoa mstunda
  4. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuungane, Tumuunge Mkono Rais Wetu

    Tumuunge mkono m2 was visasi bora tuwe masikini milele kuliko kuwa na chuki miaka kumi,maana huyo mkulu anapanda chuki kila uchao,mm stounga mkono wakati wenye vyeti fake wengine wanahukumiwa wengine wanaendelea kula nchi,michango ya waathirika na tetemeko,ajari watia ndani,tunapiga kelele...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Poor waandishi na magazeti ya Tanzania!!?

    Wabongo ubongo wetu ni mweusi dati y.acaccia umemwabia ameiba shs trion 300 toka 98,afu yeye anakwambia pato lote(gross earn) ni chini ya trion 6,inamaana kwa mujibu wa data zao sisi chetu ni chini ya trion 1shs ,toka 98,na tumilipwa,sasa basi jiulize wamekubaliana kulipa kitu gani?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mbowe Anavyoshambuliwa na Bado Imara

    Unajuu mkuu anajua nguvu ya chadema ni mbowe,ati kwasababu aliwabatiza kwa maji 2015,sasa muondoeni mbowe aje atakaewabatiza kwa moto,watz tumeyachoka ma ccm hata mfanyaje hakuna jipya kwenu.mkulu anataka tukubali mawazo yake ata kama ni ya kijinga,basi akate kichwa atuvishe ili tutumie ubongo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Fumbo la mke wa Lutu na Sodoma na Gomora

    Mungu in mungu 2
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda; Kutoka viroba mpaka makontena ya mchanga

    Huu utawala unafikir hizi ni enzi za ujima
Back
Top Bottom