Recent content by Slow learner

  1. Slow learner

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Binafsi naona hata mfumo wa ukataji ticket umekaa kiupigaji sana, Kuna baadhi ya vituo ticket zinatumika zaidi ya mara 2 au 3 kwa abiria mmoja. Nashauri uwekwe mfumo wa kutumia N-CARD yaani pesa iwe inakatwa direct kutoka kwenye card kwa kadri ya destination ya abiria, kama inavyofanywa pale...
  2. Slow learner

    Chukua hiyo itakusaidia (2)

    Mimi pia nimewahi kuwaza mengi kuhusu kifo mkuu! Na miongoni mwa maswali niliyo jiuliza ni hayo uliyoyaandika! Life is too short!
  3. Slow learner

    Msaada: Jinsi ya ku unlock simu

    Habari wakuu! Naomba kwa anayefahamu jinsi ya Ku unlock simu ya Nokia ya torch iliyosahaulika password anisaidie tafadhali Naomba kuwasilisha.
  4. Slow learner

    Msaada: Nawezaje kufanya hili

    Kwa Kwa mfano nikihitaji kutengeneza ambayo ni online store kama kupatana au kikuu,is it possible..!!??
  5. Slow learner

    Msaada: Nawezaje kufanya hili

    Habari zenu wakuu Binafsi sio mtaalamu wa computer, wala sina ujuzi wowote kwenye issues za IT but navutiwa sana na maswala hayo. Naomba kuuliza, je, naweza kutengeneza android app nikiwa sina idea yoyote ya Computer programming? Nawasilisha.
  6. Slow learner

    Msaada Tafadhali: kwa yeyote anayeweza kunisaida kwa hili

    Mkuu,mara nyingi niapanga kufanya mambo mengi lakini namna ya kuyatekeleza ndo mtihani,najishangaa kwani nimewahi kumpa mtu wazo la biashara na namna ya kulitekeleza aka win,but nilipo jaribu mimi ilikuwa ni balaa,na kama nilivyo eleza mwanzo"Mimi si mvumilivu katika kusubiri mafanikio"
  7. Slow learner

    Msaada Tafadhali: kwa yeyote anayeweza kunisaida kwa hili

    Asante kwa ushauri mkuu,nitajitahidi kuufanyia kazi
  8. Slow learner

    Msaada Tafadhali: kwa yeyote anayeweza kunisaida kwa hili

    Habari zenu wakuu. Nimezingatia kauli ya wahenga isemayo "mficha maradhi mauti umuumbua", binafsi nahitaji msaada wa kimawazo kutoka kwenu wataalamu. Umri wangu ni mdogo tu,lakini nimekuwa nikifanya shughuli mbalimbali za utafutaji,nimekuwa nikijiwekea malengo fulani kutokana na shughuli...
  9. Slow learner

    Darasa la Android: Uliza matatizo yote duniani ya android, majibu 100%

    Habari mkuu,simu yangu ilikuwa inasoma line za 3g,na 4g pia kuna jambo nilifanya imeacha kusoma 3g,inasoma line za 4g only,pia nikipiga simu haipiti na nikipiga menu fulani mfano menu za vifurush,kuangalia salio etc,inaandika "Connection problem or invalid MMI code,msaada please! Simu yangu ni...
  10. Slow learner

    JamiiForums V.A.R

    😂😂😂😂😂 Mzee anaongezea ujuzi
  11. Slow learner

    Hello!

    😁😁😁
Back
Top Bottom