Recent content by Slm

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kioo cha Philips Xenium w6618

    Ninasimu aina ya PHILIPS Xenium w6618 imevunjika kioo naomba msaada pakuipata screen imekufa kabisa siwezi kufanya chochote ila inawaka. Natanguliza shukrani kwanza
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kioo cha simu ya 1 plus

    Ningependa jina la duka au namba ya simu ingekuwa vyema sana
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kioo cha simu ya 1 plus

    Ilitoka Dubai mkuu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kioo cha simu ya 1 plus

    Nipo dar es salaam
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kioo cha simu ya 1 plus

    Asante nitaenda kucheck
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kioo cha simu ya 1 plus

    Dah kuna njia nyingine hii ya kuagiza hapana
  7. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kioo cha simu ya 1 plus

    Simu yangu aina ya 1 plus kioo kimefunjika haifanyi kazi kabisa ila kinaonyesha, kwa yeyote mwenye kujua sehem vinavyopatikana anijulishe please! Natanguliza shukurani zangu asante
  8. S

    JamiiForums Tanzania Plate za majiko ya gas

    Nashukuru mkuu nitacheck nae
  9. S

    JamiiForums Tanzania Plate za majiko ya gas

    Asante mkuu ngoja nijaribu pia hapo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Plate za majiko ya gas

    Samahani mkuu kariakoo sehem gani
  11. S

    JamiiForums Tanzania Plate za majiko ya gas

    Asante sana kwa michango yenu ngoja nikajaribu hapo clock tower
  12. S

    JamiiForums Tanzania Plate za majiko ya gas

    Kama kuna mtu anafahamu zinapopatikana plate za majiko ya gas anifahamishe please
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi wa mjini hupenda kuitana Wanyamwezi au kujiita Wanyamwezi?

    Hivi ukienda ughaibuni hasa Marekani na mataifa ya ulaya watu wanasema umeenda unyamwezini. Ukiwa mtu wa huko ama unaishi huko unaitwa mnyamwezi, Je hii origin yake ni nin zaidi ilikuwaje ikawa watu wanaita hivyo
  14. S

    JamiiForums Tanzania CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes

    Aisee mkuu hii kitu naitaka ile mbaya nitakutafuta unipe info za kutosha one to one thanks in advance kwa hii habari
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume Werevu na Wasomi waliobobea huoa wanawake wenye Elimu ya wastani?

    Ukitaka mambo yaende utakavyo ndani ya ndoa oa mwanamke asie na kisomo(au kisomo kikubwa) au kama unataka mambo yaendo sivyo ndivyo si kwa urahisi kwa nguvu tena kwa malumbano mengi pasua kichwa oa alieenda shule level za shahada ya kwanza kwenda mbele
Back
Top Bottom