Plate za majiko ya gas

Slm

Senior Member
Jan 26, 2011
103
4
Kama kuna mtu anafahamu zinapopatikana plate za majiko ya gas anifahamishe please
 
Kama una picha inaweza kusaidia nini hasa unaongelea.
 
Piga No 0713403785 Beda Gas Supp,pia jamaa anakufanyia installation kama ukitaka,wapo K/koo Uhuru/Livingstone str,Keys Hotel.
 
Kuna duka moja lipo clock tower wanauza pale
Mkubwa ukisema clock tower basi sema na mkoa, kwani arusha Kuna clock tower, mwanza, pamoja ya Dar ni maarufu zaidi, sasa wewe unasema clock tower ya mkoa gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom