Recent content by SLIMSHAD

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kuna Dunia nyingine mpya imepatikana

    Afadhali, wapeleke wa Israel uko ili kuondoa full apa duniani
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano

    Yani siku iyo tunakiomba Jesh letu la Polisi, na Jeshi la wananchi tunafanya usafi dunia nzima, kila nyumba tunafanya bure kabisa.
  3. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Mamba (Gustave) anakadiriwa kuua watu takribani 300 Ziwa Tangayika

    Tena ukute kweny maji anaingia usiku tu, asubuh na mapema anatoweka. Ndio mana hawamuoni
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfumania mke wangu na mwanaume mwingine, nimemwambia arudi nyumbani amekataa. Nifanyeje?

    Tena ukute jamaa anakula kisamvu, itabidi akirudi jamaa ajaribu kutumbukiza kidole nyuma
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Katibu Tawala Mkoa wa Arusha akabidhi mwenge kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara leo? Mkuu wa Mkoa wa Arusha yuko wapi?

    Why umuombee mwenzako mabaya? Hujui ana familia? Kama.kwako ni mbaya kwa wengine mzuri. Arusha bado inamuhitaji sana
  6. S

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina amshukia Waziri Bashe, adai amelidanganya Bunge, awataja Magufuli, Rais Samia

    Shida saizi utakuta amefanya labda hakuwa kwny mgao, na kuna mtu kichwa nyuma yake sio yy. Sasa mkimpa uraisi mwaka tu mnakuja kulia tena apa. Atajitokeza mjinga ambae hajapewa mgao wake, atafanya kazi ya kuchoma wenzake naye mtampa Urasi, kumbuka nae atakua anatoka CCM.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha mvua uzalishaji wa dhahabu hupungua, tumia kemikali hii uongeze uzalishaji

    Ulinzi wa biashara wakati umeweka mtandaoni? Si ungefungia stoo, hii ni dunia ya utandawazi na kufanya biashara online. Ukiweka kitu weka details za kila kitu, mtu akikutafuta anauliza tu vp umepokea pesa tafadhali tuma mzigo mapema
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwa haya anayoyafanya Paul Makonda Arusha, wakuu wengine wa idara kwani nyie mnajisikiaje?

    Ukiona jamaa amekaa kimya jua anasema kaletewa jembe kimono moyo
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

    Alitaka Malaika washuke ndio wagombee urais
  10. S

    JamiiForums Tanzania Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Huezi kaa tu ukaangalia dem wako akipigwa hata kama ulimwambia apunguze mdomo na ukorofi kwa jirani zake
  11. S

    JamiiForums Tanzania Dawa kutibu bawasiri

    Angesema yuko Dar ungesema kuna mama pale ilala, kind of wote mnajuana mtatupiga ap
  12. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Au bahari ipo juu ya mji?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

    Mu mpe hongera na Mwabukusi, jamaa kapambana kabla ata ya TEC, ila watu wamempuuzia, mi binafsi nampongeza sana
  14. S

    JamiiForums Tanzania Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

    Yes you can, iyo kazi utalipwa paka lini?
Back
Top Bottom