Recent content by Slime

  1. S

    Wabunge tusaidieni kuiuliza serikali ni lini itaruhusu mfumo wa kupokea pesa wa biashara za mitandaoni wa Paypal?

    Fucc Paypal! Nitawapigia kura Chadema wakisema wapo tayari kulipa kodi kwenye Mishahara yao; na wapo tayari ku-adjust Mishahara iendane na kazi wanayofanya huko bungeni! Tofauti na hapo fvck politicians!
  2. S

    Kisarawe 2 Kumekucha,Jipatie Viwanja kw Bei Poa Kabisa

    Vipi mzee bado vipo?
  3. S

    Nilitumia miaka mitano ya kujenga nyumba ya ndoto yangu, inawezekana vijana tusilale

    Ni kumuibia kila alichonacho alafu uhakikishe hapati tena mchongo...baada ya hapo lazima awe BROKE tu[emoji1787][emoji1787] Au sijaelewa swali lako mkuu?[emoji28][emoji28]
  4. S

    Nilitumia miaka mitano ya kujenga nyumba ya ndoto yangu, inawezekana vijana tusilale

    Mie wala sibishani nahitaji tu kuelimishwa: ~300k ni 10% ya 3m, na hiyo umesema/mwezi. Uki-annualize hii return inakuwa ngapi vile? Ningeomba utujuze biashara ipi inayolipa hivi uswahili njaa huku. Nashukuru!
  5. S

    Kuna ubaya chumba cha watoto wa kike kuwa karibu na watoto wa kiume katika ujenzi?

    Cha kawaida cha kijamii kipi hapa? Au wewe na mtoa mada mnatokea jamii ili? Maana kama ni jamii hii ya wa-Tanzania basi siku si nyingi kabla ya muumba kutushushia ghadhabu. Kuna mstali mwembamba sana kati ya ujinga na ushetani. Ukianza na dada zako itakuwa vipi kwa watoto wako wakike (au...
  6. S

    Naomba kujuzwa gharama za kujenga kwa Mkandarasi

    Mbona unataja taja nchi zile zile za Netflix Narcos? Mwenzetu Punda nini? Lol
  7. S

    Kuna ubaya chumba cha watoto wa kike kuwa karibu na watoto wa kiume katika ujenzi?

    Nina dada zangu pia na ushetani wa aina hiyo haujawahi kukatiza karibu yangu. Kwamba usingekuwa na dada upo tu na Mama yako? Ungehamishia majeshi kwa bi mzazi au? Acheni kuendekeza upuuzi!!
  8. S

    Naomba kujuzwa gharama za kujenga kwa Mkandarasi

    Sasa mbona we ni contradiction? Fundi wa mtaani humtaki; mkandarasi hutaki kufahamu. Utajenga kwa mikono yako na mkeo ama?
  9. S

    Kuna ubaya chumba cha watoto wa kike kuwa karibu na watoto wa kiume katika ujenzi?

    Sasa kama imefikia wazazi wanahofia ndugu wa damu kupandana kama wanyama...dunia imekwisha. Labda we mleta mada nae kwa nini umeuliza au nae ulikuwa unawapanda dada zako? Hii dunia hii
  10. S

    Naomba kujuzwa gharama za kujenga kwa Mkandarasi

    Gharama unazifahamu sasa kaka za mkandalasi?
  11. S

    Naomba kujuzwa gharama za kujenga kwa Mkandarasi

    Sawa kaka, ila nilimaanisha kujenga ki-ghorofa cha floor moja kama nilivyoandika hapo juu. Vyumba vitatu tu.
  12. S

    Naomba kujuzwa gharama za kujenga kwa Mkandarasi

    Kweli uaminifu mdogo sana kwa mafundi wetu hawa. Nyumba naziona mtaani hapa, baada ya mwaka tu nyumba ina nyufa kibao.
  13. S

    Naomba kujuzwa gharama za kujenga kwa Mkandarasi

    Ndio mkuu, ki-ghorofa kimoja kidogo hivi ndo nafikiria hapa. Nashukuru kwa kuchangia pia!
  14. S

    Naomba kujuzwa gharama za kujenga kwa Mkandarasi

    Nashukuru sana mkuu, hii imenipa mwanga! Naangalia uwezekano wa kutoa ka-ghorofa cha floor moja ila sina imani na mafundi wa mtaani. Ndio naona bora nijue bei ya kufanya kitu roho ikiwa na amani.
  15. S

    Naomba kujuzwa gharama za kujenga kwa Mkandarasi

    Habari wakuu, Wakati najipanga hapa nikaona niombe mchango wa mawazo na uzoefu wenu. Bila shaka wapo ambao mnafahamu gharama ya kumtumia mkandarasi kujenga, walau kwa kukisia tu. Nashukuru sana kwa mchango wenu.
Back
Top Bottom