Kisarawe 2 Kumekucha,Jipatie Viwanja kw Bei Poa Kabisa

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,504
5,539
Jipatie viwanja kwa Bei Poa Kabisa
SQM 1 hadi TZS 7500
Heka Moja hadi TZS Mil.28
20*20 hadi TZS Mil 3.8
Umbali kutoka Kibada KM 2
Umbali kutoka Kiwanda cha Maji ya AFYA KM 1.2
Umbali kutoka Uwanja wa Yanga KM 1

Pia Kuna Meneo yanauzwa maeneo na Nyumba zinauzwa maeneo ya Kibada,Vijibweni Kwa Bei nzuri Kuanzia M 12

Nyumba za kuuza zinapatikana Kuanzia M18.

Kwa mawasiliano 0785688736

Karibuni
 
Kibada hadi Kisarawe 2 ni 2km?!!
 
Anzia hapo..umbali kutoka kiwanda cha afya...tunaelekea kulia au kushoto kutoka kibada....kulia kuna heka kama 10 hv za mtu...pana mgogoro kwa kifupi...
 
Anzia hapo..umbali kutoka kiwanda cha afya...tunaelekea kulia au kushoto kutoka kibada....kulia kuna heka kama 10 hv za mtu...pana mgogoro kwa kifupi...
Mkuu kuna mgogoro gani?Maeneo yenye migogoro siwezi kuyauza.Usiwe na Wasi wasi.
 
Jipatie viwanja kwa Bei Poa Kabisa
SQM 1 hadi TZS 7500
Heka Moja hadi TZS Mil.28
20*20 hadi TZS Mil 3.8
Umbali kutoka Kibada KM 2
Umbali kutoka Kiwanda cha Maji ya AFYA KM 1.2
Umbali kutoka Uwanja wa Yanga KM 1

Pia Kuna Meneo yanauzwa maeneo na Nyumba zinauzwa maeneo ya Kibada,Vijibweni Kwa Bei nzuri Kuanzia M 12

Nyumba za kuuza zinapatikana Kuanzia M18.

Kwa mawasiliano 0785688736

Karibuni

Ofisi yako inapatikana wapi?
 
Vipi mzee bado vipo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom