Recent content by Sley Shabani Rashid

  1. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

    hahahahaah hawatoamini
  2. S

    JamiiForums Tanzania Athari za Mkopo wa Biashara, Baada ya kukopa mkopo wa biashara kutoka Benki, nimejikuta katika hali ngumu sana

    mkopo wako wa 110 ulichukua lini?na ulikua unafanya biashara gani? Katika maisha hua inafikia kipindi inakulazimu kuanza upya bila wewe kupenda, Kubali kuanza upya brother tupo wengi sana tuliopitia hali za namna hii na tupo tayari kuanza upya kitu cha msingi ni kwamba umetambua na kuelewa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya kozi mbili zifuatazo ni kozi ipi inalipa zaidi na ipo Marketable zaidi na yenye malupu lupu

    Kati ya kozi mbili zifuatazo ni kozi ipi inalipa zaidi na ipo Marketable zaidi na yenye malupu lupu. Kozi zenyewe ni 1-Human Resources Management 2-Procurement and Supplies Management. Wataalam Naomba kujua
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Pukutiko linaendelea...

    miamba hawa hahaaaaa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    pin point
  6. S

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kazi za mikono zinazofanya vizuri sokoni

    hakika kaka,ubarikiwe sana
  7. S

    JamiiForums Tanzania Msidanganywe na misimamo inayochezwa mahakamani na jopo la majaji chini ya Ndunguru. Lissu yupo hatarini kuliko mnavyodhani

    inamaana jamaa hajui kama kwasasa Tanzania imewekewa vikwazo na bado inaendelea kuwekewa vikwazo kimataifa?? hahaahaha hili ni tatizo
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msidanganywe na misimamo inayochezwa mahakamani na jopo la majaji chini ya Ndunguru. Lissu yupo hatarini kuliko mnavyodhani

    Huku tunapokwenda ndio patam kuliko tulipotoka lazima watatema bungo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msidanganywe na misimamo inayochezwa mahakamani na jopo la majaji chini ya Ndunguru. Lissu yupo hatarini kuliko mnavyodhani

    Wewe haujui kitu nyamaza Kwa ufupi elewa tu ,mtu muhaini hawezi kuwa supported na taasisi mbali mbali za kimataifa na hicho unachokisema ni Cv ambazo zinasidia kuonyesha Lissu ni nani na amejihusisha na nini tangu alipoanza harakati anazoziamini za kudai haki.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Msidanganywe na misimamo inayochezwa mahakamani na jopo la majaji chini ya Ndunguru. Lissu yupo hatarini kuliko mnavyodhani

    Kuna wakili mmoja Jina nimesahau alisema hata kama Lissu atakutwa na hatia basi wao kama Mawakili watakata rufaa kwenda mahakama ya makosa ya kivita,mimi naamini Pimzi ya Jamuhuri tayari imekata kwasababu kitendo cha kuzuia baadhi ya mashahidi wasije kwasababu za Katuga na wenzake ni ujinga...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, niko Dar Es Salaam

    😂
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio mashahidi wa Lissu, iwapo mahakama itaamua kwamba ana kesi ya kujibu

    Ameen Kwa Jina la Yesu Kristo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio mashahidi wa Lissu, iwapo mahakama itaamua kwamba ana kesi ya kujibu

    Kesho ndiyo mwisho wa hii kesi Kaka,it’s either wakubali au wakatae pons yao ni kukubali yaishe hi hiyo kesho kwasababu wakitaka kesi iendelee ni wataachwa vinywa wazi sana
Back
Top Bottom