Recent content by slavison

  1. slavison

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaume wenzangu ukiwa na Hela Yako usijinyime kula vizuri na kujijali kisa familia, utakuja kujuta

    Hudumia familia yako kadri ya uwezo wako ulivyo sio unapeleka matumizi nyumbani we ata chai ya buku 2 inagoma😂😂😂
  2. slavison

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanaume wenzangu ukiwa na Hela Yako usijinyime kula vizuri na kujijali kisa familia, utakuja kujuta

    Mara nyingi wastaafu wanakula mafao yao kwa fujo wakijua watakufa waache hela zao lakini wanachapa hela inaisha na hadi mtu wanabaki kuwaangalia watoto wao ambao tiari nao wana majukumu yao na kuleta kero zisizo eleweka😂😂😂😐
  3. slavison

    JamiiForums Tanzania Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako

    Wapo vizuri hao jamaaa
  4. slavison

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya ukurasa wa Yanga na ukurasa wa Simba huko Instagram

    Mkisema Yanga naukumbuka ugali nilio ulaga miaka flan hiv kweli ni timu ya wananchi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  5. slavison

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CHADEMA: Yakitokea haya itakuwaje? Mpasuko hauepukiki

    Ndo maana halisi ya movement for chaonge
  6. slavison

    JamiiForums Tanzania Hii nilikutana nayo mahala. Sijui ni ya muda gani ila nimeshare

    Hao ndo wale wanataka idadi ya vibaka iongozeke mitaani Binafsi ninachokijua uduvi + dagaa huku Kanda ya ziwa Kuna hela sana alafu jamaa alikuwa Kagera huyu
  7. slavison

    JamiiForums Tanzania Royal Family wadhibitiwe, watavunja NDOA za watu!

    Mbakola😂😂
  8. slavison

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji hao washatema nyongo vijana changamkeni

    Inakatisha tamaa ila amna namna ngoja tuendelee kutembea na mibahasha😂😂
  9. slavison

    JamiiForums Tanzania Msaada nina uvimbe shavuni nimetumia dawa lakini haujapungua

    Ndugu upo mkoa gani unaweza pata msada pia maana mwenyewe nilisaidiwa tu mwanangu alikuwa na uvimbe chini ya kidevu nilipata dawa ya kienyeji mara tatu kiliyeyuka maana sjuhi kilipoenda
  10. slavison

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naandika haya kwa uchungu sana

    😂😂😂😂😂 Mzee wa below 24
  11. slavison

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna mwanamke kaninyima game tena akisingizia show zangu ni kali

    Hiyo ni kweli ukizingatia kimoja icho ulichokipiga kimechukua mda gani huwenda hata lisaa BINAFSI MIMI SJAWAHI KUPIGA MIENDELEZO TOFAUTI NA KIMOJA cha dakk 45 to 1 hr lazma mtu ale chocho
  12. slavison

    JamiiForums Tanzania Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako

    Kwa sisi wenye star x😂😂😂
  13. slavison

    JamiiForums Tanzania Vurugu zaibuka Mochwari ni baada ya Polisi kuzuia Wakili wa Chadema kushiriki Postmortem

    Natamani kuongea kitu ila nahofia kupotea😭
  14. slavison

    JamiiForums Tanzania Kufuta qualification/cheti Ajira Portal

    Aisee mwenyewe nahangaika saana
Back
Top Bottom