Recent content by Slatcher09

  1. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Wanafunzi Kidato cha Tano na vyuo ni kilio kwa Wazazi masikini

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimemwambia asome akifaulu vzr asome mpk Masters Law
  2. S

    JamiiForums Tanzania Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

    Kaenda kulipia gharama za aliyemtumikia na kumpa umaarufu. Note: Mtumishi wa kweli wa Mungu hafi ghafla ghafla
  3. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Wanafunzi Kidato cha Tano na vyuo ni kilio kwa Wazazi masikini

    Mimi mdogo angu kapata Div 1-14 PCB ana point 9 aliichagua ila wamempeleka Hgl km vile wao ndo wanamjua kutoka shule za kata, dogo imebidi aende tu kusoma hiyo hiyo maana shule aliyopelekwa Ni Ilboru, sasa haifai kubadili kwenda Pcb na point zake 9 na kuhama kwenda shule nyingine ni mtiti. Yaani...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je, course ya Health Information Science ni nzuri?

    Aiseee kubadili ni ngumu sana hasa kwa hizo post za moja kwa moja. Health Information system kweny afya ndo Scale ya chini
  5. S

    JamiiForums Tanzania Njoo tufahamiane tulichaguliwa kidato cha tano 2021

    Dogo langu kapangwa ILBORU
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma MD kwa matokeo haya?

    Ndo hvyo ukiwa na hela zako utafte connection na adm officer tu umept mshkaj wang aliapply kawaida akakosa second selection akaapply hlf akatafta connection akatoa mkwanja akapt kilaini
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma MD kwa matokeo haya?

    Ila vyuo siku hz diploma kujiendeleza km huna First class 4.4 kuendelea mpaka kuonga hela nakumbuka huyo mshkaji aliyept alitoa kwa adms off zaidi ya 1.3 M
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma MD kwa matokeo haya?

    Kwani clinical medicine umemaliza mwaka gn
  9. S

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma MD kwa matokeo haya?

    Nisaidie no ya huyo admission officer inbox plz
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma MD kwa matokeo haya?

    Dogo unasoma sana kuna mshikaji wangu Olevel alikuwa na div 2 hlf diploma 3.5 akapata Bugando last yr sema kwa vyuo vya serikali competition ipo juu sana
  11. S

    JamiiForums Tanzania Je, course ya Health Information Science ni nzuri?

    Diploma ya ukatibu afya haina dili kwa ufaulu wako mara mia hata ukabadilishe usome Pharmaceutical Science au Nursing and Midwifery.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kubadili shule uliyongiwa kidato cha tano?

    Nasbr na mm msaada maana nna dogo langu kapangwa ILBORU-Hgl wakt ndoto zake ni kuso,ma PCB, HGL ana point 4 Pcb ana 9
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    Ni umalaya tu nakumbuka kuna demu mmoja mke wa mtu alinitengenezea mazingira kwenda kumgongea kwake
  14. S

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

    Dogo kwa ufaulu wako nenda Advance utatoboa,
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TCU kutowatambua waliosoma Engineering Science kusoma shahada za Sayansi inawaumiza waliosoma Shule za Ufundi

    Mimi nimesoma Tech Projectile motion, Angular Velocity yote yamo olevel changamoto tu ni kutokufny practical sijui nani alipitisha huo upuuzi
Back
Top Bottom