Slatcher09
Member
- May 17, 2021
- 17
- 33
Ila vyuo siku hz diploma kujiendeleza km huna First class 4.4 kuendelea mpaka kuonga hela nakumbuka huyo mshkaji aliyept alitoa kwa adms off zaidi ya 1.3 MMwaka jana
Ila vyuo siku hz diploma kujiendeleza km huna First class 4.4 kuendelea mpaka kuonga hela nakumbuka huyo mshkaji aliyept alitoa kwa adms off zaidi ya 1.3 MMwaka jana
Kumbe iko ivyoIla vyuo siku hz diploma kujiendeleza km huna First class 4.4 kuendelea mpaka kuonga hela nakumbuka huyo mshkaji aliyept alitoa kwa adms off zaidi ya 1.3 M
Ndo hvyo ukiwa na hela zako utafte connection na adm officer tu umept mshkaj wang aliapply kawaida akakosa second selection akaapply hlf akatafta connection akatoa mkwanja akapt kilainiKumbe iko ivyo
Ngoja nijipange sasaNdo hvyo ukiwa na hela zako utafte connection na adm officer tu umept mshkaj wang aliapply kawaida akakosa second selection akaapply hlf akatafta connection akatoa mkwanja akapt kilaini
Harufu ya upigaji hapa mtoa mada.Ila vyuo siku hz diploma kujiendeleza km huna First class 4.4 kuendelea mpaka kuonga hela nakumbuka huyo mshkaji aliyept alitoa kwa adms off zaidi ya 1.3 M
Kwamba Mungu atafanya wale wenye ufaulu mkubwa wasiombe ili huyu apate nafasi!? Au ni vipi? Au wote wakiomba huyu apate muujiza wa kuingia kwenye list ya waliofanya vizuri? Hii lugha ya kumuomba Mungu tuangalie mahala pa kuitumia.Watu wenye ufaulu zaidi ya hizo cut points wapo wengi sana, lakini ucijali kama una nia ukimtanguliza MUNGU utafanikiwa..
Chuo gani?Ndo hvyo ukiwa na hela zako utafte connection na adm officer tu umept mshkaj wang aliapply kawaida akakosa second selection akaapply hlf akatafta connection akatoa mkwanja akapt kilaini
Jamani nauliza mbona mm,nikiingiza taarifa zangu nacte wanasema, hawazitambui,shida iko wap,ni diploma ya elimu ,nahtaji nipate award verification number,msaada ,Ingia website ya TCU download guide book, angalia kwenye equivalent qualification uone yaliyomo
Jaribu kuwasiliana nao upate msaada waoJamani nauliza mbona mm,nikiingiza taarifa zangu nacte wanasema, hawazitambui,shida iko wap,ni diploma ya elimu ,nahtaji nipate award verification number,msaada ,
AsanteJaribu kuwasiliana nao upate msaada wao
Hivi huwa mnakosea wapi? Si tafuta vyuo husika halafu waoneshe vyeti vyako waone kama una sifa? Mwisho wa siku utaishia kupigwa tu, watu wanaanza kusema sijui mtu alitoa mkwanja, na wewe unaanza kutafuta contacts zao. Utaumia ndugu yangu...Habari mimi nimemaliza clinical medicine nina GPA 4.3 na olevel nina chem C bios B phy D English C geo C maths F naweza kusoma M.D.
[emoji23][emoji23][emoji23]mbwa anajikabidhi mwenyewe mdomoni mwa chatu. Tuna safari ndefu sana.Hivi huwa mnakosea wapi? Si tafuta vyuo husika halafu waoneshe vyeti vyako waone kama una sifa? Mwisho wa siku utaishia kupigwa tu, watu wanaanza kusema sijui mtu alitoa mkwanja, na wewe unaanza kutafuta contacts zao. Utaumia ndugu yangu...
Kati ya vitu siwezi kufanya maishani mwangu mojawapo ni kununua elimu au kufanya konakona kwenye elimu. Kama sina vigezo vya kufika darasa la nne B bora nitulie tu na elimu yangu ya darasa la tatu C nifanye mambo mengine.Ndo hvyo ukiwa na hela zako utafte connection na adm officer tu umept mshkaj wang aliapply kawaida akakosa second selection akaapply hlf akatafta connection akatoa mkwanja akapt kilaini
Habari mimi nimemaliza clinical medicine nina GPA 4.3 na olevel nina chem C bios B phy D English C geo C maths F naweza kusoma M.D.
Tafuta connection uje hapa Muhas,Hapa wanachukua Kwanzia 4.6 nazan bcoz wanawachukua 20 tu from DiplomaHabari mimi nimemaliza clinical medicine nina GPA 4.3 na olevel nina chem C bios B phy D English C geo C maths F naweza kusoma M.D.
Connection gani mkuu, hivi kumbe MUHAS ukiwa na gpa yako ya 3 sahau kabisaTafuta connection uje hapa Muhas,Hapa wanachukua Kwanzia 4.6 nazan bcoz wanawachukua 20 tu from Diploma
Uwe na koneksheni na watu wazito hakuma linaloshindikana mkuu.Connection gani mkuu, hivi kumbe MUHAS ukiwa na gpa yako ya 3 sahau kabisa
Wanafunzi wakisasa kilakitu amenyewe hatahilo hujui ulipate wapiHabari mimi nimemaliza clinical medicine nina GPA 4.3 na olevel nina chem C bios B phy D English C geo C maths F naweza kusoma M.D.