Recent content by SLAALU

  1. S

    Mwakyembe: Mahakama ya mafisadi kukosa kesi ni mafanikio makubwa

    Dr wa Tanzania ni Dr wa kuogopwa,Mwakyembe bila hata AIBU yeyote PENGINE ana uhakika na kesho yake that's why. Shame on Mwakyembe[emoji51] [emoji51] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
  2. S

    Spika Ndugai katika Hija Israel akutana na Spika wa Israel

    [emoji38] [emoji38] [emoji38]
  3. S

    Benki zaanza kuwakamua Watanzania kwa kuongeza kodi (VAT) ya 18%

    Mmmmh,THIS TIME TOMMORROW tutakuwa wapi?. Some one to gues,tutajajuta kuzaliwa Tanzania na muda ndio huu!!!. YANGU MACHO TU
  4. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Dodoma ni kwetu ila pako nyuma sana kimaendeleo
  5. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ha ha haaa,nimechelewa kujiunga tu JF. Patamu mno ase
  6. S

    Sukari yauzwa Sh. 1,800 Mlimani City. Mwisho mifuko mitano

    Twende wote mlimani city unadhan pataonekanaje,ni ujinga kuleta utani tu kwny vitu serious. Leo hii,08.05.2016;nilitoa Tsh 10,000/= kununua kilo moja nikarudishiwa chenji 6,500/= KUFA HATUFI ila CHAMOTO tutakiona!.
  7. S

    ARUSHA: Polisi wakamata tani 45 za sukari inayodaiwa kufichwa

    Ha ha haaaa,ngoja MAKOBASI YANGU pea 4 nikazifue nikafungie mahali tulivu. Tunakoelekea sio kuzuri kwakweli.
  8. S

    Sukari yauzwa Sh. 1,800 Mlimani City. Mwisho mifuko mitano

    Twende wote mlimani city unadhan pataonekanaje,ni kuleta utani tu kwny vitu serious. Leo hii,08.05.2016;nilitoa Tsh 10,000/= kununua kilo moja nikarudishiwa chenji 6,500/= KUFA HATUFI ila CHAMOTO tutakiona!.
  9. S

    Sukari yauzwa Sh. 1,800 Mlimani City. Mwisho mifuko mitano

    Punguwani ni punguwani tu,maswala ya vyama wapi yanapata ktk thread hii?. HAKIKA,hakuna chai iishindwayo mkate
  10. S

    Sukari yauzwa Sh. 1,800 Mlimani City. Mwisho mifuko mitano

    Kama huku kwetu BABATI,kilo 3000_3500/= Tunaisoma namba sasa
  11. S

    TAHADHARI: Vibaka wamezidi usiku maeneo ya barabara ya Mlimani City

    Pole saana,hao watu ni wabaya kupindukia.
  12. S

    Ile unaingia tu chumbani alipolala mwanao

    Huhitaji kupanic,we toka tu nje au fuatilia alikoelekea huyo nyoka na kumuua. Kumng'ata mtoto,hilo jambo halipo na ndio maana wanaitwa MALAIKA!
  13. S

    Juma Nkamia: Mnataka muonekane kwenye TV watu wazima kwani mnatafuta wachumba?

    Nimekuelewa vzuri sana,hongereni sana makamanda wote ktk upambanaji huu!. Aluta continua
Back
Top Bottom