Recent content by skyone7

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuwa mraibu wa kujichua, sasa najuta, nimekuwa "hanithi"

    Aah punyeto haimfanyi MTU hanithi NI saikolojia yako mkuu...imejengeka hivo nitafte nikupe dawa ili urejeshe kujiamini
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa 3, Mke kakimbia ndoa yake kisa anataka kazi

    Hahaha huwajui wanawake ww,.....😂😂
  3. S

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kichawi: Hivi haya mambo yapogo kweli? Maana kuna wimbi la vijana wanapigwa pesa kimya kimya

    Lete pesa nikuuzie kitabu cha kungarisha nyota , mvuto wa biashara na Mali process zengine utafanya mwenyewe kwa kufuata maelekezo ya kutoka kwenye kitabu Kitabu kipo kwenye lugha ya Kiswahili tuna 50k yangu nikutmie kitabu...Ila ukikitumia vibaya juu yako mm simo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sehemu ya kujishikiza wakuu; Hali ni mbaya

    Nina 3.7 overall gpa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sehemu ya kujishikiza wakuu; Hali ni mbaya

    Nipo Dar mkuu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sehemu ya kujishikiza wakuu; Hali ni mbaya

    Habari wakuu Week kadhaa nyuma nilileta Uzi wa kumba Akira ya medical lab ila Hadi Leo bado sijafanikiwa kupata Leo nakuja tena kwenu kama kuna MTU ana sehemu hata yakupata nauli Tu kwa siku pia nipate hata Ile sabbu Tu yakunitoa nyumbani Elimu yangu NI diploma, Nina skills kadhaa kama...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka wa kupokea ushuhuda kuhusu ule uzi wa tiba ya chumvi ya mawe wa Mshana Jr

    Tufanyeje kujikwamua mkuu sasa kiroho...sikuuoni huo Uzi wa mshana
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Medical laboratory technician ikitokea mnijuze wakuu
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Ikitokea nafasi ya medical laboratory technician mnijuze wakuu
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni msoto gani wa kimaisha uliowahi kuupitia, uliokufanya ujue maisha si lelemama?

    Ngojeni kwanza nitakuja na wangu nikishamaloza episode yangu Maana ndo inaendelea hivi picha bado mbichi kwangu.........
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Safi sana ...wengine tutashinda hapa
  12. S

    JamiiForums Tanzania Moyo unaniuma sana, nahisi nitapata ugonjwa wa moyo. Nimekata tamaa ya maisha, natamani Mungu anichukue

    Mkuu napitia hali kama yako na sitakata tamaa kamwe...Maana kesho haijulikani Tupambane mkuu kila kitu kutakua sawa. Hakuna shida ya milele
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Mimi sina connection na ajira ila nina connection na work visa na permanent residency ukifika kazi unajichsnganya na wenyeji wako watakuseidia kupata Hyo ni gharama Maana ukwel watu kukutolea visa permit ya mwaka, ina cost had 3.5 milion na hapo ticket juu yako one way ticket kma laki 8 hivi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Mkuu naomba kuuliza
Back
Top Bottom