Recent content by Sky zone

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Hivi hili tatizo ninalo mimi tu au wanaume wote?

    Ni vyema sana! Mimi Nakubaliana kupima Kwanza kabla ya kumla na mara nyingi napima mwenyewe kabla ya kudu akigoma basi hakuna haja ya kugombana Mungu wangu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiachika kisha kuolewa tena anakuwa mwaminifu sana

    Ndugu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza vipi kuna tofauti kati ya ndoa ya mwanamke aliyeachika kabla na kuolewa mara ya pili na yule aliyeingia kwenye ndoa kwa mara ya kwanza? Wewe unasemaje kimtazamo au kwa uzoefu wako?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Demiss sio malaika ni binadamu kama wewe

    Mungu awape nguvu mdumu milele mkuu. Uwazi, upendo,uwajibikaji, na kushughulikiana ziwe tunu za maisha yenu. Huku mkiwa huru ninyi kwa ninyi bila kufichana kitu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume mwenye VVU

    Wapo wansomtukana wuyu Mrembo lakini wao watakufa mwaka huu, Wengine mwakani n.k. Yeye Holyholy pengine ana miaka 50 mbele +29=79. Wapumbavu Kabisa.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume tutawezana kweli?

    Mpuuze. Ndoa ni uwazi na ukweli
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaokojoa kwenye makopo usiku huwa wananitoa kwenye hamu ya mapenzi

    Kukonoa, kujamba na kunya ni starehe kubwa sana duniani. Acha upumbavu wachumba zetu wakojoe na wajambe wajiskiavyo.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nimevunja chaga makusudi ili tulale wote.

    Mkule asikuletee utani
  8. S

    JamiiForums Tanzania Sina furaha naishi kwa wasiwasi wa kuvamiwa

    Furaha jipe mwenyewe! Kila mmoja anajua Siku moja atakufa. Aina ya kifo Mungu ndiye anayejua. Sasa woga wa nini kwa kuwa na vijisenti wakati kufa kupo tu? Ebu ondoa wasiwasi kula ela kwa maandalizi ya kufa maana kupo palepale.
  9. S

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Waliowahi kupata wachumba JF

    Mmmmh?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Makabila kumi yenye wanawake wazuri sana Tanzania

    Warangi ni Malaya sana. Hawafai kwa mahusiano kabisa.
  11. S

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Waliowahi kupata wachumba JF

    Embu wale woote waliofanikiwa kuwa na mwenza kutoka JF Leo tupate uzoefu. Watupe mrejesho na hali hslisi ya ndoa zao. Sema neno ulimpata mwenza JF.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mdogo wake mume wangu amenitongoza

    Aache uzenge mbona ni siku ya 10 nampiga kitu. Pale pia nilimpiga adijifanye kuwatesa akili.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Unajizuiaje kupenda wanafunzi wa sekondari?

    Wa hawavutii. Watoto wa secondary kwangu noo. Bora kukaa miaka kumi bila kugegeda kuliko kujitafutia matatizo.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Swali: Je, ni muda gani mzuri wa kufanya mapenzi usiku au mchana?

    Haipendezi kushabikia uchepuko. Mapenzi tunayosema ni ndoani. Tuache ujinga
Back
Top Bottom