Haitatui tatizo.. hapo majina ya wapiga kura yabandikwe vituoni wiki mbili kabla.. wataje kabisa mtaa anaoishi na namba ya nyumba. Tujiridhishe kama ni watu wetu kweli
Demu alikua fair sana.. ulisema unachotaka nae Akasema anachitaka.. just simple kiutu uzima.. wala sio ukatili
Bahati mbaya ukiwa huna hela kila kitu unakiona ghali mno.. hapo kuna wenzio wanaitoa million bila tabu..
Mimi nafikiri na wewe ungetangaza mapema kuwa hapa nina kiasi fulani tu kwa...
Yuke "Mnyarwanda" amewahi sema akipewa nchi ya Tanzania aiongoze.. atatumia bandari tu kama chanzo cha mapato na nchi itaendelea. "Mzee wa hoja hazipigwi rungu" akakasirika na kuanza kufukuza wakimbizi
Mkumbuke pia kushauri serikari iongeze idadi ya walimu kabla hamjamlaumu mwalimu.. shule ina watoto 400 walimu 5, na mkuu akiwemo. Hii ina maana kila mwalimu ana karatasi zaidi ya 700 za kusahihisha, atasahihisha kwa usahihi?
Katika kutafuta pesa wako vizuri mno.. kuliko baadhi ya makabila. Ni majasiri wa kukamata fursa. Niambie ni fursa gani hawamo kabisa? Kila kabila lina utamaduni wao, na watu wenye maisha ya kawaida wanautumia kama fursa. Wengine kuchunga, wengine kilimo cha mkono, kuchonga vinyago nk. Ukisema...
Mwalimu anaweza laumiwa.. huenda hajawa mpana.
Mwanafunzi anaweza laumiwa.. huenda hayuko makini darasani
Mzazi unaweza laumiwa.. huenda hufuatilii maendeleo ya mtoto, akirud home ni tv tu hadi anasahau vya shuleni.
Mtaala unaweza laumiwa.. mwalimu anafundisha yaliyopo kwenye syllabus...sina...
Hamna haja ya kulalamika wakati mnafurahia kufaulisha 100%. Mitihani inatakiwa iwe migumu ili tupate wahitimu wachache wanaohitajika.
Dunia haihitaji watu wengi wenye degree.. inahitaji watendaji, mafundi wengi ambao ni certificate.. na wasimamizi wachache wa kati ambao ni diploma.. degree...
Kinachonishangaza na kunichosha ni bidii yenu ya kuifia dini za kigeni eti ni safi... Dini safi ni zile za kiafrika tulizotelekeza.. kama matoto yasiyojielewa. BABU ZETU WATUSAMEHE kama watuona huko waliko.
True...mke, ni mama. Mnaposhauriana na kujengana, ni mama watoto anapokua kwenye malezi.. ni superwoman anapokua kwenye ujasiliamali... Ni mhudumu anapokuwa sebuleni.. ni mpishi bora anapokua jikoni.. ni mpenzi na malaya mpenda ngono anapokua chumbani kitandani
Nini maana ya maoni.. mtu anapohisi anaibiwa asiseme..?? au kisa anaemhisi ni raisi ndio augulie moyoni.. hiyo itakua amani??
Ni kazi yako ww ambaye una uhakika kila kitu kiko sawa kutushawish kwa hoja zisizo na mashaka kuwa hatima ya wanetu iko salama kwenye mikataba isiyo na kikomo...
Anaetoka chuo ni mwalimu kamili.. ila wanatofautiana uwezo. Nadhani ni sahihi kuchuja upya ili kupata walio bora zaidi kwa ufanisi wa kazi.. kama wanavyofanya private schools
Pole.. matumiz ya nguvu, hisia na ujuzi mwingi hayasaidii. JIFUNZE KUTAFAKARI KILA NENO KWA BUSARA. utapata hekima. Naona unajua mengi.. ila huna akili. MPENDE MUNGU WAKO KWA MOYO.. NGUVU, NA AKILI PIA
Em tupunguze emotion kwenye fact.. mama zetu nao ni wanawake.. HIZI SIO KEJELI KWAO.. NI HESHIMA KWAO.. NDIPO ILIPO NGUVU YAO.
Ukiplay vizuri kumstarehesha Mumeo kwenye hayo majukumu aliyoyataja hapo juu, utakuwa mke mwenye nguvu. Hivyo hivyo kwa mama zetu.
Kama walidumu katika ndoa na...
Nafikiri wamekosea kumsimulia walichomfanya.. mwamba lazima kuwa anajua namna ya kufight hiyo hali.. atakapo rejea atawaonesha kwanini anaitwa MFALME WA WAFU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.