Recent content by skilled masala

  1. skilled masala

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: House girl amshtaki bosi wake kwa kutomlipa mshahara kwa miaka Mitano

    Nitumie PM basi nina nia njema
  2. skilled masala

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: House girl amshtaki bosi wake kwa kutomlipa mshahara kwa miaka Mitano

    Mawasiliano yake yanapatikana mkuu?
  3. skilled masala

    JamiiForums Tanzania Nimeamini mjini akili tu

    Sasa hiyo si ni opportunity ya biashara tu, sasa ujinga unakujaje sasa.
  4. skilled masala

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

    Faida anayopata huyo mtu kuzaa na wewe ni nini?
  5. skilled masala

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Soma mwongozo hapo juu
  6. skilled masala

    JamiiForums Tanzania Hivi wanafunzi wengi wanaopata ufaulu mkubwa, huwa wanakwenda wapi?

    Unataka wasikike kivipi ndugu mtoa mada?
  7. skilled masala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake tunaolewa na walio tayari kwa ndoa

    Doh Aisee😀
  8. skilled masala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu, kabla ya kuamua kuingia ndoani fanya kama mimi

    Sasa huyo jamaa ameamua kuachana na aliyekua mke wake mtarajiwa kwa kisa cha kuigiza vipi kama response ya mwanamke nayo ilikuwa ya kuigiza labda nae kuna vitu alikuwa anaviangalia kwake
  9. skilled masala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu, kabla ya kuamua kuingia ndoani fanya kama mimi

    Sawa mkuu lakini huo mtihani watafaulu wachache sana japo sio kweli kwamba waliofeli hawakuwa wanawake sahihi kwake
  10. skilled masala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua Kukisanua: Hii ndiyo sababu ya Jezi za Simba SC kutozinduliwa hadi leo

    Kumbe ndo hivo mimi nikajua vinginevyo
  11. skilled masala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu, kabla ya kuamua kuingia ndoani fanya kama mimi

    Nikweli yapo madhaifu ambayo mwanamke akiwa nayo hapaswi kabisa kuwa mke. Mkiishi maisha ya uchumba hata mwaka 1 inatosha (tena yawe maisha halisi sio ya kuigiza na kupeana majaribu) Wewe kumuigizia mkeo mtarajiwa eti umefukuzwa kazi ni kosa kubwa sana hata mkiwa kwenye ndoa utakua unamdanganya...
  12. skilled masala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu, kabla ya kuamua kuingia ndoani fanya kama mimi

    Bora ufanye research kwa matukio ya kweli sio kupeana majaribu
  13. skilled masala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu, kabla ya kuamua kuingia ndoani fanya kama mimi

    Ndoa ni swala la kuishi maisha realy haihitaji majaribio au Research utachemka mkuu na umri unaenda
  14. skilled masala

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

    Na hizo video za hao mastaa huwa anazipata wapi
  15. skilled masala

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei ya mafuta nchini: Wasanii, Madaktari waiangukia Serikali na kuishauri

    Nasisi wanaJF tunasemaje
Back
Top Bottom