Recent content by Skate Boy

  1. Skate Boy

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki ya mkataba

    Kaka habari... Karibu WATU Credit.. Tupo Mwenge Vinyago, Tegeta na Temeke... tunatoa mikopo ya pikipiki kwa kianzio cha Tsh 300,000 unakua unafanya marejesho kwa wiki, mkataba ni kuanzia mienzi 8 hadi 15. Vigezo vyetu ni Barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa, kitambulisho hallie Kati ya...
  2. Skate Boy

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    Mkuu nahitaji Land Cruise hardtop 3 doors... Kindly check me 0682 162 650
  3. Skate Boy

    JamiiForums Tanzania Karibu Gardaworld Security kwa huduma za ulinzi

    Mkuu umecopy na kupest Uzi wangu wa security systems!! But anyway hongera!! Piga kazi!! Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Skate Boy

    JamiiForums Tanzania GPS Car tracking devices kwa ulinzi wa Gari, Bajaji na Pikipiki yako

    Phone number 0677178169 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Skate Boy

    JamiiForums Tanzania GPS Car tracking devices kwa ulinzi wa Gari, Bajaji na Pikipiki yako

    Wasiliana na I Secure Technology wanazo GPS TRACKER kwa ajili ya TV na magari pia Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Skate Boy

    JamiiForums Tanzania Khaligraph X ROSTAM kolabo kali zaidi ya Hiphop Kenya na Tanzania

    Hata Hii yenyewe ROMA kamfunika!!!
  7. Skate Boy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji betri ya simu aina ya ZTE A452

    Shukran mkuu
  8. Skate Boy

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kuwa na wenye elimu ya PhD wengi duniani

    [QUO TE="DeepPond, post: 26872138, member: 464660"]Hapana mkuu, Wachina wamewekeza sana kwenye tertiary education. ( Certificate & FTC/Diploma) Hasa hasa kwenye vyuo vya ufundi Ndo maana wakija uku bongo, ukiwa na degree ni ngumu kuajiliwa na mchina. Kwa wachina, Degree level, ni MTU mkubwa...
  9. Skate Boy

    JamiiForums Tanzania Nikki wa Pili ayape heshima mavazi ya kitaaluma. Achague kuwa PhD holder ama abaki na swagger zake za kisela

    Acha wivu mkuu!! Yaan maandishi yako yanaonesha ni jinsi gani una roho mbaya ya wivu!!!
  10. Skate Boy

    JamiiForums Tanzania Fahamu virefu vya baadhi ya maneno yaliyofupishwa

    TBH= To Be Honest
  11. Skate Boy

    JamiiForums Tanzania Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

    It was 2000 mkuu!! Ilinitokea kuhusu passport nilitoka tuu nje ya hotel nlikokuwa nkiishi kuna kijiduka kilikuwa pembeni tuu ya gate la hotel si unajua tena smokers tukikosa tobacco?? Ghafla nkawekwa mtu Kati coz polisi wa Kongo kama we ni mgeni watakujua tuu either unavyotembea au njia yoyote...
  12. Skate Boy

    JamiiForums Tanzania Nyimbo 100 Bora za muda wote mziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva)

    Kakosekana vipi hapa huwezi ukaacha kumueka mtu Kama Ngwair kwenye list
  13. Skate Boy

    JamiiForums Tanzania Vitu nilivyojionea nikiwa ndani ya nchi ya Congo

    Mkuu uko mji gani huko?? Me nmekaa Lubumbashi takriban miezi sita. Nilichoona ni kwamba Wakongo wanathamini USD kuliko Faranga lakini kizuri zaidi unaweza kwenda dukani ukiwa na USD ukapata huduma bila taabu na ukaamua kuchukua change ya USD au mixer na Faranga au Faranga peke yake au USD peke...
  14. Skate Boy

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Mkuu usihangaike sana nenda serikali ya mtaa wako kuna form maalum,omba form(ni bure) jaza then mengine yatafuata.
Back
Top Bottom