18 ni wachache sana.
Kikao kilichopita tulijadili ili uoe na kujutia labda ufikishe ke 30.
Pole sana brother,
Kiukweli kwenye relationship usipokuwa makini na usipowekeza kwenye akili na kujifahamu, utaishia kutengeneza kipato kwa ajili ya mabinti na wanawake.
Ushauri wangu kwako.
1. Uwe na...
Kwani kwenye kikao cha Wanaume kilichopita ilikuwa agenda namba ngapi?
Itabidi hili jambo lizungumzwe upya.
Naona wengine wanazidiwa na ujanja.
1. Ku-fake Upendo kama Delila
2. Ushamba au Kushobokea mapenzi
3. Kulogwa au limbwata, n.k.
Kikao kijacho,
Ukipata Taarifa au Kujua kuna mtu...
1. Shuleni (Advance level)
Hadi sasa ni zaidi ya ndugu zangu.
2. Nairobi, kama mtu wa kawaida tu au rafiki ila hadi leo ni zaidi ya ndugu zangu.
Kila mtu anayekujia kwenye maisha yako, usimdharau.
Wengine ndiyo watakaokutoa kimaisha au kibiashara au kikazi.
Ila kuwa makini na kenge nao wamo.
Dah! Pole sana kiongozi,
Mambo mengine ni balaa!!!
Ni ngumu kuvumilia na ngumu kuendelea.
Naomba uzungumze naye hali unayoisikia pindi ukutanapo kwa bed, ili upate nafasi ya kumpeleka hospital au kwa nurse ili kupata suruhisho.
Usimuache, huyo tayari ni wako, msaidie kama atakuwa tayari kusaidika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.