Wanachonishangazaga watanzania Kila nada inayoletwa wanachangia, kwa hiyo watz wote ni ma jeneous. Mtu hata neno Forex ndio analiona kwa mara ya kwanza ila anatililika ni hatari.
Peleka hizo taarifa kwa afisa elimu, mkurugenzi, takukuru. Kama huoni sababu ya kupeleka katika vyombo hivyo hapo juu wewe inabidi uitwe mnafiki na mchonganishi.
Mleta malalamiko kama ana uhakika na anachosema kwa Nini asitoe taarifa kwenye vyombo husika badala yake anakuja kubwabwaja mtandaoni, hivi watz tumepatwa na nn?
MWALIMU NA JAMII
Kumekuwa na tabia za kumshambulia mwalimu kila mara anapofanya kosa hasa kwenye mitandao ya kijamii. Ni rahisi sana jamii yetu kukimbilia kuona makosa ya mwalimu na sio mema yake.
Mwalimu ni binadamu kama wengine.
[emoji404]Anaweza kushikwa na hasira za kupindukia kutegemea...
Nimeona tujadili wahenga. Ni muda Sasa unazidi kwenda tangu matukio ya mauaji, ukabaji wa vikundi kama damu chafuna manyigu, kwa Sasa la mauaji kwa wanawake halafu wanakatwa sehemu za Siri na matiti lakini hakuna operation yoyote inayofanywa na vyombo vya ulinzi. Wananchi wa Mpanda- Katavi tuna...
Huku watu hawachangii wakati hili linagusa maisha ya watu moja kwa moja, Mimi binafsi naomba mama alisimamie Hilo watu wamefanya kazi katika mazingira maguma huku wakichangia alafu unastafu unaambiwa utalipwa 25% hii ni dhuruma kwa watumishi.
Mimi nimetuma maombi ya cheti cha mwanangu zaidi ya mara tatu na mara zote hizo nimekatwa zaidi ya Tsh. 16,000/= naambiwa mara Kadi siyo original napiga simu zao ni feki naona Rita walikua hawajajipanga kutuhudumia kwa njia ya mtandao watuambie Kama ni kweli wapo online au la ninahisi ni Kama...
Angalia na watu wanaokushauri. Hebu fikiria kwa mfano ni halali mlokole kukoroga pombe, ni halalimlokole kuuza po mbe? Kama jibu ni hapana na hiyo kaxi ni hapana lasivyo Nina mashaka na ulokole wako huwezi let's bandiko kama Hilo hapa Kama ww no mlokole kwelikweli.
Kumuishia kristo ni pamoja na kukubaliana nae kwa Kila alilolifanya, hivyo katika ubatizo alibatizwa kwa kuzamishwa na baada ya kuibuka jutoka kwenye maji sauti ilisikika kutoka mbinguni ikisema "huyu ni mwanangu mpendwa msikilizeni yeye" je tufuate mfano wa ubatizo upi was yesu au summary ya...
Baada ya kusikia eti mapapai Yana Corona nilijua Kuna watu wanaenda kuharibiwa feature zao tuombe mama wakumbuke watu Hawa walioonewa. Poleni wataalamu wetu lakini Mungu ni mwema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.