siyawezimatatizo
Member
- Apr 29, 2019
- 36
- 25
Nimeona tujadili wahenga. Ni muda Sasa unazidi kwenda tangu matukio ya mauaji, ukabaji wa vikundi kama damu chafuna manyigu, kwa Sasa la mauaji kwa wanawake halafu wanakatwa sehemu za Siri na matiti lakini hakuna operation yoyote inayofanywa na vyombo vya ulinzi. Wananchi wa Mpanda- Katavi tuna hofu na Jana amesikika mkuu wa mkoa akidai amani IPO wakati hakuna Jambo ambalo limefanywa na serikali ili kukomesha haya matukio. Tusaidieni jamani Mpanda Katavi tunapoteza ndugu zetu. Mama ckia kilio Cha watu wa Mpanda- polisi kwetu huku wako likizo.