Kuna ambao matumbo yao ndo yalivyo ila wengi wanapata vitamin baada ya kuzaa. Na most of them ni wale wanaozaa kwa kisu. Sababu mtu akipasuliwa hawezi fanya njaa za ajili za kurudisha tumbo. Akilazimisha anaweza kufumua nyuzi. Na hii ni kwa sababu zoezi hilo linatakiwa kufanywa mara tu baada ya...
Nadhani hili limewauma wengi kwa sababu ni mke wa mtu. Vyeo vingine hapa Tz na hasa Siku zilizopita asilimia kubwa ya viongozi walikuwa wanapewa vyeo kutokana na sababu fulani za kujuana au hata rushwa. Na kwa baadhi bado wanaendelea na mtindo huo. Majipu ni mengi kuyatumbua yaishe itachukua Muda.
Wakosoaji Siku zote wanaona kasoro tu. Haha kawarekebisha ni rahisi, weka utaratibu ili kwamba kila anayeona kasoro badala ya kukosoa aweke marekebisho ya ile kasoro. Wakosoaji watapungua na hata kutosha kabisa, kawaida Wakosoaji ni wavivu wa kufikiri. Yeye anachoweza ni kuona kasoro tu...
Nadhani hili ni fundisho kwa mabinti wengine. Binti kuwa nje ya nyumbani kwako mpaka usiku mwingi ni habari. Na hatari zinazoweza kumkabili Mtoto wa kike au mwanamke ni nyingi kuliko wanaume na vijana wa kumi. Na pale mwanamke anapokuwa anategemea ulinzi wa mtu ambaye si baba yake na wala ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.