Recent content by situmai

  1. situmai

    JamiiForums Tanzania Ni jinsi gani unaweza kumsamehe mwenzi wako pale anapokiri kosa

    Wadau tusaidiane hapo kimawazo,km mume au mke amekuwa na mahusiano na mtu mwingine na amekuomba msamaha kwa kitendo alichofanya lakini unajikuta bado ukifikiria aliyoyafanya unapata hasira zaidi badala ya kusamehe.nini suluhisho,nini cha kufanya?
  2. situmai

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kukupa hamu ya mapenzi kwa mwanamke

    Habari wana JF, Hivi kuna dawa ambayo ukinywa labda inakupa hamu ya kufanya mapenzi kwa mwanamke? Tusaidiane
  3. situmai

    JamiiForums Tanzania Maumivu yatokanayo na mpira wa kutolea mkojo

    hayo ni maumivu tu ya kawaida,with time yataisha.
  4. situmai

    JamiiForums Tanzania mwanamke asiyejitambua.

    mwanamke asiyejitambua yukoje? una mtambuaje
  5. situmai

    JamiiForums Tanzania Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

    wana jamii forum hv kazi ya asali ni zipi? tuambizane basi
  6. situmai

    JamiiForums Tanzania how can you deal with a cheater?

    ukigundua partner wako anakucheat,utafanya nini?
  7. situmai

    JamiiForums Tanzania nini kinasababisha mwanaume kwenda round moja wakati wa kusex?

    wadau nini kinasababisha hii?
  8. situmai

    JamiiForums Tanzania Ukwaju

    je Juice ya ukwaju inapunguza damu?
  9. situmai

    JamiiForums Tanzania nini kina nguvu ya kudhihirisha penzi la dhati?

    really?
  10. situmai

    JamiiForums Tanzania nini kina nguvu ya kudhihirisha penzi la dhati?

    wana jf tusaidiane hapo
  11. situmai

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mnene na mwembamba, yupi ana mvuto kimapenzi kwa wanaume walio wengi?

    any suggestion wana jf
  12. situmai

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua bei

    Nokia Asha jamani ni shs ngapi huko madukani? anyone anayejua?
  13. situmai

    JamiiForums Tanzania maziwa makubwa

    hahahaaaa mnama unanifurahisha ni PM nikuonyeshe.
  14. situmai

    JamiiForums Tanzania maziwa makubwa

    hv mtu akitaka kupunguza ukubwa wa maziwa afanyaje bila kudisturb umbile lake la chini.
  15. situmai

    JamiiForums Tanzania Kuna dawa ya kuongeza 'libido' hamu ya tendo kwa mwanamke

    asante kwa ushauri lakini mbona wakati wa nyuma nilikuwa na enjoy tu, sehemu za mtekenyo anazijua ila siku hizi akinishika si feel kitu?
Back
Top Bottom