Tiba Zipo Nyingi Lakin Aujasema Inakuaje Mpka Hamu Hakuna? Usije Pewa Overdose!!habari wana jf .hv kuna dawa ambayo ukinywa labda inakupa hamu ya kufanya mapenzi kwa mwanamke? tusaidiane
zipo big g za kutafuna very cheap zinaamsha hormones na unapata hamu.habari wana jf .hv kuna dawa ambayo ukinywa labda inakupa hamu ya kufanya mapenzi kwa mwanamke? tusaidiane
Ningeshangaa kama usingetokea kwny huu uzizipo big g za kutafuna very cheap zinaamsha hormones na unapata hamu.
Umeongea kama Dr Year wa kikeKwanza ungetufahamisha una umri gani, ungeelezea japo story yako ikoje zamani ulikuwaje na sasa ukoje na huyo mwenza ulo nae mkoje katika mahusiano, hapo tungeweza kukupa jibu sahihi, japo kwa upande wangu sijawahi sikia hiyo dawa, nijuavyo ukiwa upo na mtu unaempenda na kama anayajua mapenzi hamu ya kufanya huja yenyewe, labda kwanza wewe mwenyewe iandae akili yako kwa hilo tendo na mwili wako utengeze uwe mzuri kwa tendo, yani mwenza wako awe na hamu ya kufanya na wewe kila mara, usikute hamu imepotea sabab huyo mweza wako hana hamu ya kufanya na wewe pia, kwkahiyo hakufanyii mashasham ya kukutamanisha kufanya huo mchezo.
Mtu kama mimiDawa nyingine ni kufanya mapenzi na mtu unaye mfeel,
Ipo Dawa Mie Naifahamu Tena Yakisasa Yaani Mwanamke Akiiramba Tu Wala Haumtongozi Unamshika Tu Mkono Hadi Chumbani Unajilia Vyako
Hehehehe
Usilete Ubishi Kama Wewe Ni Demu Nitafte Nikupe Unywe Tone Lake Tu Uone Ndani Ya Dk 10 Kama Hautaniganda NikakushughurikieNyie ndo mnaochora watu wanaruka sarakasi kwenye mitihani ya history necta.
ningeshangaa usingeniqoute.Ningeshangaa kama usingetokea kwny huu uzi
Hupaswa kushangaa mkuu, ni hali halisi iliyopo.Duhhhh