Nimeshuhudia mara tatu zaid
Nikiwa boarding school o level shule flani ya dini kanda ya kati, pale tu matukio mawili na sikuwa peke yangu
Kuna bagamoyo, hulu niliwahi lala usiku asubuhi nimejikuta nimechalazwa nyembe sio poa mwili mzima na nililala na nguo
Bagamoyo hiyo hiyo 2012 Luna chaka...
Habari mi sio mtaalamu sana ila kwann ishu ya nyeti imekuja kipindi hiki? Ambapo report ya cag inahadiliwa na watanzania
Wakati huu pia report ya October ikisubiliwa
Kwann nyeti zimepotea tunduma kwa watukutu imefika mbeya kabwe na sasa watoto wa gaza kimara?
Ukweli kuhusu nyeti huenda ni...
Naomba kujua sio kwa ubaya pia kwanini Tanzania bara na Zanzibar bei ya mafuta zinapishana sana?
Bei ya Tanzania 4000 lakini Zanzibar ni 2900.
Sisi ni nchi moja ila kwann tunatofaut kubwa sana hapa.
Kwanini mamlaka zetu wajifunze kwa wenzetu?
Anayekipata ni mtoto wa Mungu wa mchongo madhara haya yapo wazi sio ya chumbani kaka
Polen sana Israel saiv watu wanakimbia nchi wanakuwa wakimbizi
Wapi umeona miran mkimbizi
Wewe sio mdau wewe ni mtumishi wa maktaba na uliajiliwa dr mcharazo akiwa mkurugenzi wa huduma a kwa sasa unakitaka cheo baada ya kujiendeleza masomo, conso pis imenyooka sana kwenye kazi
Hapana tukiruhusu taasisi binafs usalama wa afya utakuwa mdogo sana wagonjwa watapewa damu ambazo haziko salama na inaweza kutumika vibaya, private imejikitika kibiashara zaid upande wa serikali pia sio kila kituo kinaruhusiwa ishi ni uwezo wa kuzimonitor
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.