Recent content by Sisimizidume

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hivi vidonge vinatibu ugonjwa gani?

    N bora ungezipiga nyuma tukajua jina la dawa, zlizonying znafanana rangi na umbo. Hafu pia ungemuuliza anaumwa nn kuliko kumdukua na huku ungekuja kuthbitisha kama taarifa zake n kweli.
  2. S

    JamiiForums Tanzania MANYARA: Mnyeti awapiga marufuku Wakuu wa Wilaya kushirikiana na madiwani wa CHADEMA

    Duu na huyo rc anafaa kupelekwa mirembe!? au n mihadarati tu,kichwani
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wana Kigoma embu jengeni kwenu

    Haya diamond na alkiba kama sample salam ziwafikie.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutumia Sh. Bilioni 1 ktk Uchaguzi wa Marudio Kinondoni

    Jimboni hospital znafungwa kwa kukosa wafanyakazi ,Leo tunatumia bilioni moja kuruhusu kumuunga mkono mtu mmoja . tunazd kucheka kwa kujitekenya kwa kweli.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini wa Kigoma wanasumbuliwa kupata Passport?

    Mkuu cyo hilo tuu hata ujenzi wa rami kutoka nyakanazi kigoma unasuasua na hakuna hata mkandarasi mmoja alotikiswa au kufukizwa kazi kama kwingine mpaka nafikiri kampuni inayojenga ni ya mtumbuaji ambaye hawezi kujitumbua mwenyewe
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jimboni Chemba kwa Juma Nkamia zahanati mbili zafungwa hakuna watumishi

    Mkurungezi hapo amelala pamoja na madiwan, na nkamia zama za kupata ubunge na kuishi nje na jimbo zilipendwa, wapga kura tubadl mfumo achaguliwe aliye na familia jimbon.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Madaktari wengi ni kiume ni walevi na wametelekeza familia

    Wengi kama wangapi!??
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wanadi sera ipi uchaguzi mdogo?

    Mkulu amejitahidi kukusanya kodi ili kuinua uchumi na kafanikiwa, lakini kabaka Sera ya elimu bure ambapo pato hutoka point A kwenda point B. Kifupi ni sawa na kuchimba shimo na kulifukia bila kujua kama unapoteza nguvu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania If we Change, Every thing shall change for Us

    Tz true, kikubwa hata elimu zetu za dini zinatufanya kua na mawazo tegemezi kwani kila tufkapo ukomo wa kuwaza humwachia mungu badala ya kusaka ugumu ulipo.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Iv kuna uwezekano ukiwa chuo kuhama ktengo mfano kutoka nursing kwenda clinical medicene kwa anaechukua diploma?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Diploma ya medical lab
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Second round profile inaonesha selected nw, thankx GOD
  13. S

    JamiiForums Tanzania NACTE second round afya yametoka leo

    Uli apply 2nd au ile ya kwanza? na walpokujulsha direct ulkaa mda gan ukakuta profile yako ina sehem ya kukonfm
  14. S

    JamiiForums Tanzania NACTE second round afya yametoka leo

    Uli apply 2nd au ile ya kwanza?
Back
Top Bottom