Ndo maana Idd Amini alipoona wazee na Vikongwe wanamchelewesha, Akaleta Tipa za kutosha akawajaza na kwenda kuwabinua Victoria, unawahisha mchakato. Mambo ya kusubiri mzee aliyemkariri Nyerere hadi afe yatachelewesha sana mabadiliko, hao ndo wanawapa kichwa hawa mijusi
Maadam umetumia neno "Watanzania" sisi ndio wenye mamlaka yote, akiona hatuishi nongwa ang'atuke tu kulikoni kuwaganda watu wasiokutaka? BTW wewe ni ng'ombe
Kama alikubali masharti hayo kipindi cha uchumba then baadae uanze kua na demand nje ya yale ya mwanzo, kosa ni lako. Kama mwanaume hana uwezo wa kuhudumia ukoo wa mwanamke akaibe? Hakuna sheria inayomlazimu mwanaume kuhudumia wazazi wa mke exept asipohudumia familia yake aliyoianzisha yeye...
A coin has two sides bro, kwa akili tu ya kawaida vitendo vya mwamba kweli si vya kiutu ila kwa mtu timamu hawezi fanya hayo matukio without the reasons behind, as long as mwanamke hajalitamka la changamoto ya akili basi halipo.. Kuna sababu zingine zinapelekea mwamba kua hivo, tungezijua...
Shida nyie viumbe hamjawahi kujua kudhibiti kiburi mpatapo kauwezo kidogo, tumesikia story ya upande mmoja tu, tungepata na ya upande wa pili we could judge better
Comment moja matata sana
Shida nyie viumbe hamjawahi kujua kudhibiti kiburi mpatapo kauwezo kidogo, tumesikia story ya upande mmoja tu, tungepata na ya upande wa pili we could judge better
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.