Recent content by sirnungua

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mlipuko huu wa Rooters za WIFI kwa kampuni za Simu ipi ni nzuri Kwa matumizi nyumbani?

    Mkuu naweza pata mawasiliano ya hao wadau, hizi za group tigo washatufanyia kitu mbaya
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Wakuu msaada tafadhali, kuna mtu anataka niuzia Redmi note 10 promax. Lakini laini moja wamedeactivate, inasoma laini moja tu. Ukiweka laini mbili yaani kila slot lain yakee, network inapotea kwa lain zote. Baadhi ya wajuzi wanasema inawezekana ni ya magumashi. Vipi kuna namna ya activate tena...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Simba fanyeni mazoezi ya mikwaju ya penati

    No comment, sijui kama mkeka uliuweka hivyo mkuu! Ila Umetisha
  4. S

    JamiiForums Tanzania MASHINE ZA CAR WASH ZINAUZWA

    Biashara haihitaji mzuka tu, bali ni commitment na malengo. Yawezekana huyo anayesema hivyo kapata mzuka baada ya kumuona mtu anapiga hela kupitia carwash, so usimshangae. Kwa upande wangu, Ni mwenye eneo kufanya maamuzi yake kwa faida yake. Kaona akijenga hilo eneo ataingiza faida zaidi,Though...
  5. S

    JamiiForums Tanzania MASHINE ZA CAR WASH ZINAUZWA

    Eneo nililokua nafanyia kazi,landlord anataka ajenge!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kwamba timu ya Dodoma Jiji imekuwa ikibebwa na waamuzi katika michezo yake ya VPL, Lakini naamini leo mbele ya Young African anakufa !

    Naona mwamba wewe ndio umeukimbia uzi badala ya Mwenye Uzi
  7. S

    JamiiForums Tanzania MASHINE ZA CAR WASH ZINAUZWA

    Nina Mashine mbili za CarWash (Umeme &Petrol), Pamoja na Tank la kiboko (1000ltrs) vyote naviuza. Tank lina Koki kabisa, Bei ni kama ifuatavyo; Machine ya Umeme TSh 400,000 Mashine ya Petrol TSh 300,000. Tank. TSh. 120,000 (halipo pichani) Vyote vipi Manzese Dar es Salaam. Contact: 0653118453...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ifahamu Familia ya Said Salim Bakhresa

    Point ya msingi ipo hapo,, Hawa wenzetu mtoto mpaka ndoa anaolea akiwa nyumbani na anagharamikiwa. Na anatafutiwa connection au anaingizwa kwenye family businesses. Ngoz nyeusi utasikia "Toka na wewe ukatafute mali yako na mji wako"
  9. S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya Juisi ya miwa inauzwa

    Bei ni Sh.700,000/= Mawasiliano ;0653 118 453 Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    MASHINE YA JUICE YA MIWA, TSh. 700,000/= Call: 0653 118 453 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom