MASHINE ZA CAR WASH ZINAUZWA

MASHINE ZA CAR WASH ZINAUZWA

sirnungua

Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
28
Reaction score
37
Nina Mashine mbili za CarWash (Umeme &Petrol), Pamoja na Tank la kiboko (1000ltrs) vyote naviuza. Tank lina Koki kabisa, Bei ni kama ifuatavyo;
Machine ya Umeme TSh 400,000
Mashine ya Petrol TSh 300,000.
Tank. TSh. 120,000 (halipo pichani)
Vyote vipi Manzese Dar es Salaam.
Contact: 0653118453
Ukichukua vyote uanapata Punguzo!
IMG_20201219_094831_795.jpg
IMG_20201219_094846_730.jpg
IMG_20201219_094302_059.jpg
 
Kuna nini umeamua kuacha biashara? Maana kitaa huwa tunadanganyana .. utasikia mtu anasema ' Mi nikipata tu mashine za Car wash nimemaliza mchezo' ...!
 
Kuna nini umeamua kuacha biashara? Maana kitaa huwa tunadanganyana .. utasikia mtu anasema ' Mi nikipata tu mashine za Car wash nimemaliza mchezo' ...!
Biashara haihitaji mzuka tu, bali ni commitment na malengo. Yawezekana huyo anayesema hivyo kapata mzuka baada ya kumuona mtu anapiga hela kupitia carwash, so usimshangae.
Kwa upande wangu, Ni mwenye eneo kufanya maamuzi yake kwa faida yake. Kaona akijenga hilo eneo ataingiza faida zaidi,Though mpaka sasa hata tofali hakuna.
Lakini kwa sasa sipo Dar, nipo Lugoba Site kikazi, hivyo nakosa muda wa kuanzaa kutafuta maeneo na kuianza biashara upya. Hua napenda biashara yangu mpya nianze nayo mwenyewe au niwe karibu. Siku pekee nakua free ni j.pili tu
 
Back
Top Bottom