Pamoja na kwamba timu ya Dodoma Jiji imekuwa ikibebwa na waamuzi katika michezo yake ya VPL, Lakini naamini leo mbele ya Young African anakufa !

Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,299
1,201
Tumekuwa mashuhuda kwa waamuzi wetu wa ligi ya vpl kwa namna wanavyo fanya upendeleo na makosa ya wazi kwa kisingizio kuwa eti nawao ni binadam!

Kuna makosa ambayo dhahiri yanaoekana wazi lakni waamuzi wamekuwa wakiyafumbia macho.

Timu ya dodoma jiji ni miongoni mwa wafaidika wakuu wa ugoro huu wa waamuzi.

Kufuatia game ya leo,naamini waamuzi wetu wataendelea na ugoro wao kwa kumpendelea dodoma jiji kwa namna yoyote ile,ilimradi kuipa hadhi dodoma ilipo Ikulu ya jiwe.

Kwa vyovyote vile,niwahakikishie mashabiki wa Young African kuwa,leo dodoma lazima ateme point tatu!

Pia matokeo na matukio muhimu nitajitahidi kuweka hapa kwa wale waliopo mbali na tv.

Yanga daima mbele,nyuma..............!!
Game id:5266e67
Venue:dodoma complex
Time:10;00

Ft:yanga 3 dodoma jiji 1 (gg)

#jr
 
Tumekuwa mashuhuda kwa waamuzi wetu wa ligi ya vpl kwa namna wanavyo fanya upendeleo na makosa ya wazi kwa kisingizio kuwa eti nawao ni binadam!!
Kuna makosa ambayo dhahiri yanaoekana wazi lakni waamuzi wamekuwa wakiyafumbia macho.
Timu ya dodoma jiji ni miongoni mwa wafaidika wakuu wa ugoro huu wa waamuzi.
Kufuatia game ya leo,naamini waamuzi wetu wataendelea na ugoro wao kwa kumpendelea dodoma jiji kwa namna yoyote ile,ilimradi kuipa hadhi dodoma ilipo Ikulu ya jiwe.
Kwa vyovyote vile,niwahakikishie mashabiki wa young african kuwa,leo dodoma lazima ateme point tatu!!!

Leta matokeo mpka sasa
 
Sijui sababu ya Yanga kupeleka game Arusha, uwanja ni mbovu
 
Tumekuwa mashuhuda kwa waamuzi wetu wa ligi ya vpl kwa namna wanavyo fanya upendeleo na makosa ya wazi kwa kisingizio kuwa eti nawao ni binadam!!
Kuna makosa ambayo dhahiri yanaoekana wazi lakni waamuzi wamekuwa wakiyafumbia macho.
Timu ya dodoma jiji ni miongoni mwa wafaidika wakuu wa ugoro huu wa waamuzi.
Kufuatia game ya leo,naamini waamuzi wetu wataendelea na ugoro wao kwa kumpendelea dodoma jiji kwa namna yoyote ile,ilimradi kuipa hadhi dodoma ilipo Ikulu ya jiwe.
Kwa vyovyote vile,niwahakikishie mashabiki wa young african kuwa,leo dodoma lazima ateme point tatu!!!
Pia matokeo na matukio muhimu nitajitahidi kuweka hapa kwa wale waliopo mbali na tv.

Yanga daima mbele,nyuma..............!!
Game id:5266e67
Venue:dodoma complex
Time:10;00

Ft:yanga 3 dodoma jiji 1

WEWE JINI
 
Mimi ni Msimbazi lakini HONGERA SANA MKUU utabiri ulikaa poa sana.....

HAKIKA UTABIRI UMETIMIA.

Vipi simba na Platinum tutegemee nini????
 
Back
Top Bottom