Recent content by sirluta

  1. sirluta

    Maafisa Elimu kata wengi kutoshirikishwa mafunzo ya sensa ngazi ya mkoa mkurugenzi wa sensa taifa toa mwongozo haraka

    Hivi kazi haswa ya hawa maafisa elimu kata ni ipi? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. sirluta

    Serikali ya CCM itekeleze ilani yake ya uchaguzi ya kuanzia 2015/2025 juu ya umeme

    ILANI YA CCM 2015-2020 Kupunguza gharama za kuunganisha umeme vijijini kutoka TSH 454,000 mpaka TSH 27,000 ILANI YA CCM 2020-2025 63(h) kuongeza uwezo wa uzalishaji wa umeme na wa gharama nafuu. Serikali ya CCM imetekeleza ilani yake kwa %ngapi? Jana nimeona mojawapo ya mitambo ya gesi asilia...
  3. sirluta

    Kagaigai ‘awaka’ Tsh milioni 3.3 kununua bastola

    Afukuzwe kazi na bastola ichukuliwe
  4. sirluta

    Ni kweli Ngorongoro inamilikishwa kwa waarabu?

    Hizo ni dalili za waarabu wa Zanzibar wanataka kuchukua ngorongoro halafu waje wavunje muungano ili ngorongoro iwe Mali ya Zanzibar. Tusikubali hilo. Ngorongoro ni Mali ya watanzania lakini watanzania wa kaskazini tusikubali huu ni uvamizi. Kama wamasai wanaondolewa pabaki bila kuweka watu wengine
  5. sirluta

    Ni kweli Ngorongoro inamilikishwa kwa waarabu?

    Kwanini hao wanaharakati wao wasipigwe hizo risasi wakapigwe wamasai wasiojua hata bunduki ni nini? Serikali iache kujitetea na hoja dhaifu ya wanaharakati. Ingesema Kuna kikosi Cha magaidi kinapambana nacho sawa. Lakini kupiga watu wasio na silaha risasi ni ujinga mkubwa. Hebu serikali iwe na...
  6. sirluta

    Profesa Jay aruhusiwa kurejea nyumbani!

    Asiimbe tena ule wimbo wa "utaniambia nn" Mungu hapendi hayo maneno.
  7. sirluta

    Mahakama yamuachia huru Lengai Ole Sabaya, yasema ushahidi wa Jamhuri una utata

    Watu wanaomwonea huruma Sabaya mbona wasionee huruma matendo yake mabaya dhidi ya watu? R. Kelly na umaarufu wake anateseka huko majuu na maovu yake aliyofanyia watu Wala hakuna wa kumwonea huruma. Hivi maovu ya R. Kelly na ya Sabaya yepi mabaya zaidi? Tuwache unaaa
  8. sirluta

    Waziri Mkuu: Wananchi wapunguze matumizi ya kuni na mkaa, watumie nishati mbadala

    Huku chuga 58,000/= ukitoka nje ya mji inakuwa zaidi plus transport charges inaweza ikafika 65,000/=
  9. sirluta

    Waziri Mkuu: Wananchi wapunguze matumizi ya kuni na mkaa, watumie nishati mbadala

    Pengine waziri ana ubia na makampuni ya nishati mbadala kwahiyo hii kauli ni kama tangazo la biashara
  10. sirluta

    Waziri Mkuu: Wananchi wapunguze matumizi ya kuni na mkaa, watumie nishati mbadala

    Poleni. Viongozi wetu siyo wazalendo. Pm na ukoo wake pengine hawajui hata bei ya gesi Wala nishati yoyote kwa maana wanazitumia at zero cost. Hawawezi kuona uchungu na maisha ya binadamu wengine kabisa
  11. sirluta

    Mwanaisha Mndeme: TUCTA Inawauza Wafanyakazi, Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu

    CWT na TUCTA wote ni manyani na wezi wakubwa yanaiba fedha za watumishi hayana msaada wowote kwa watumishi.
  12. sirluta

    Waziri Mkuu: Wananchi wapunguze matumizi ya kuni na mkaa, watumie nishati mbadala

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ndugu Kassim Majaliwa, amewataka wananchi kupunguza matumizi ya kuni na mkaa na kutumia nishati mbadala. Swali langu ni nishati mbadala kwa mwananchi wa kipato Cha chini ni ipi?
  13. sirluta

    Wananchi wakataa kunyoosha mikono kwenye mkutano wa Nape kupinga kauli za kichonganishi za Nape dhidi ya Magufuli, watu wamemchoka ajitafakari

    Hawa wapiga jaramba wa mama Samia, sijui waupiga mwingi, hawatatoboa. Wengine ni wababe kupita maelezo. Watamharibia mama Samia. Huku chuga Kuna Katibu wa CCM Wilaya, anakatili viongozi wa chama wanawake (tuite ukatili wa kisasa). Kufokea, kutukana, siyo desturi njema kwenye siasa hasa kama ni...
Back
Top Bottom