Recent content by Sirlama

  1. S

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) latoa ufafanuzi kuhusu yanayoendelea mtandaoni

    mimi ninachoona wameamua kumtumia huyu jamaa ambaye alikuwa mpambe wa Magufuli ili kuleta utulivu maana Magu yupo mioyoni mwa watanzania hata sasa na hata hawa wapambe wake nyuso zao zinapata heshima kutoka kwa watanzania si kwa kingine bali walikuwa wakimlinda mzalendo wa kweli ambaye alikuwa...
  2. S

    Matatizo ya simu nyingi za Oppo, Redme na Vivo ni mafamba!!

    kuna mtu mmoja alikuwa analalamika kwamba kabla ya kununua oppo alikuwa na infinix na account yake ya what's up ilikuwa vizuri tu ila mara ya ku download app ya what's up
  3. S

    Kama huna nidhamu ya fedha kamwe usifanye hii biashara

    biashara ya grocery inahitaji mtu mwenye discipline ya fedha sana kwa sababu faida zake ni ndogo mno tofauti na biashara nyingine unakuta mtu anakula faida pasu kwa pasu .
  4. S

    GE2025 Albert Msando: Tundu Lissu anajitetea mwenyewe, Je, Mahinyila alikamatwa pale kama Wakili au Mwenyekiti wa BAVICHA?

    Hoja yake ni ya kitoto sana, kwa hiyo polisi ndio wapate uhalali wa kukamata watu na kuwazalilisha ndani ya viunga vya mahakama eneo ambalo ni common ground kwa wote.
  5. S

    Serikali yafafanua mwanamke aliyefukuzwa kwenye nyumba yake

    sababu kuna uchaguzi wa Rais na rais aliyopo madaraka ni mwanamke na hii issue imeenda viral na imegusa hisia za watu ,ili ionekane mama anapiga kazi na huruma na anajali licha ya kwamba mdai ana onekana ana haki huenda huyu mama akapendelewa .
  6. S

    GE2025 Suala la Makamu wa Rais kuwa Rais pindi Rais anapofariki inaleta hali ya kutoaminiana na hivyo kupunguza kasi ya maendeleo

    Iwe hivi makamu awe anatawala miezi mitatu alafu mchakato uaze upya hapo hapo na yeye asiwepo katika presidential race hii italeta kuheshimiana na makamu kuwa mlizi wa Rais badala ya makamu kumtakia mabaya bosi wake .
  7. S

    DOKEZO Uvushaji wa mbolea za ruzuku kwenda Zambia

    Ujanja ujanja ndio sifa za mtu mweusi , njia pekee inayofanya kuwa na uwajibikaji ni kuruhusu demokrasia original itamalaki kwa sababu kiongozi ukifanya uzembe ,ujinga unajua ya kwamba utakataliwa kwenye sanduku la kura . Demokrasia maana yake ni option kwa mlaji ambaye ni mwananchi kumchugua...
  8. S

    Kwa Sasa ni heri upambane mwenyewe na Mungu wako juu ya Usalama wako na sio kutegemea Jeshi la Polisi!!

    Uongozi wa juu kabisa ndio,unatoa taswira kwamba twende vipi ukiona kuna complacent chini tambua kule juu ndio wanasababisha, kivipi ? Askari ambaye atakuwa patriotic front anaweza tengenezewa zengwe either ahamishiwe maporini akashindane na ngedere ,ashushwe cheo au whatever sasa hii inaondoa...
  9. S

    Video clips: Godbless Lema mwoga dhidi ya Elizabeth Mambosho jasiri

    Ule ulikuwa mtego na mtetea Lema kwa hili , Lema ni miongoni mwa watu ambao wapo katika rada za watu flani humu tz au kwa lugha nyingine katika mpira wa miguu ana kadi mbili za njano sasa ulewake ajichanganye anakula red na yeye ni kiuongo muhimu katika mchezo ,hata yeye analijia hilo ndio maana...
  10. S

    GE2025 Kamanda Chilya: FFU si ‘Fanya Fujo Uone’, huo si utendaji wetu wa kazi

    Kwa hiyo wale askari pale majuzi mahakamani ni miongoni mwa watu ambao huenda wana dhana potofu juu ya hii abbreviation ya FFU , maana its doesn't make sense kama kweli hivi ndivyo wanavyofundishwa vyuoni.
  11. S

    GE2025 Mahakama kuu yatupilia mbali pingamizi la Lissu, kesi yake ya Uhaini kuanza kuunguruma mchana wa Septemba 15, 2025

    TAL kwa mazingira yanavyo onekana hawezi kuachiwa leo maana kama ingekuwa ni kuachiwa , ijumaa ya tarehe 12 /9 ndio ilikuwa right time. Kama mnakumbuka kipindi kile Godbless Lema akiwa katika long detention kuna kauli moja aliizungumza Magufuli kwamba kuna watu mnapo deal nao mkitumia sheria...
  12. S

    GE2025 Samia Suluhu: Yule naye ni mwanangu, ameweka vibao 'Urais mpe Samia, Ubunge nipe mimi'

    ila Mpina why did he join ACT ? unajua alishatengeza imani kubwa kwa wapenda mabadiliko wa kweli kiasa kwamba angeunga hii kampeni ya no reforms no election angekuwa bonge la mwanasiasa mwenye ushawishi kwa wananchi. Kwa kukubali kujiunga na chama cha ACT wazalendo kwa scenario zinazoendelea na...
  13. S

    Ukitaka kuzaa watoto wazuri, lazima uolewe na mwanaume mzuri

    Hakikisha mwanamke akiwa mjamzito anazingatia lishe bora ,mazoezi na kufanya mambo mazuri,hata kijacho atakuwa poa.
  14. S

    Ifahamu syndicate ya ANTIFA inayosadikika kumuua Charlie Kirk

    kila nchi haikosi wanamtandao a.ka syndicate
  15. S

    Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?

    sawa sawa kabisa ila angefanya reforms za hao wapizani wanazozitaka alafu aende nao kwenye sanduku la kupigia kura ushindi wake utakuwa wa halali na wenye baraka .
Back
Top Bottom