MH. JOHN POMBE MAGUFULI, LEO NI SIKU YETU WA BABA.
Mh. Rais, pole sana kwa kazi ya kututumikia watanzania kama mfanya kazi namba 1, tambua haya ni mapenzi toka kwa Mungu, tambua siyo kwamba wewe ni zaidi ya watanzania wote zaidi ya milioni 50 ila ni kwa neema tu zake mwenyezi Mungu, kamwe...