Leo ndiyo wale askari polisi 8 waliowawa kule Pwani wameagwa pale police barracks
Askari wanane kufa kwa kupigwa risasi na watu ambao ni majambazi/magaidi ni msiba wa kitafa..
Hivi mh Rais uliona taabu gani kwenda kushirikiana na askari wako katika kuwaaga wale askari.
Mh Rais uzidunzi wa hostel ni mhimu kuliko kuwaaga askari wako!
Kweli kabisa Mwigulu afike wew usifike? hilo suala la hostel kwa nin hukunuachia RC Makonda na waziri LUKUVI au ukahailisha kama uliona lazma uwepo
Mh. Rai umenishangaza sana...!